Natafuta perfect woman awe mke wangu

Natafuta perfect woman awe mke wangu

hajazaliwa bado, age yako na uliyoyaandika bado hujakomaa kiakili kuweza kuishi na mke.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maisha hayajakupiga bado uko foolish age ukisota mtaani kama miaka 7 hivi hiyo ndoa utaona kama jela ya guantanamo
 
Nyinyi ndio ambao hamkujipanga kabla ya kuingia katika ndoa.
Sisi huwa tunakichunguza kitu kwanza mkuu kabla ya kukichukua.
Life is not easy ndio maana tuna fight hard.
 
hajazaliwa bado, age yako na uliyoyaandika bado hujakomaa kiakili kuweza kuishi na mke.
Kama unaishi kwa kumtegemea MUNGU basi mambo yako yatakua okay.
Tatizo ni pale tunapotumia akili zetu pekee pasipo kumtanguliza MUNGU kwanza.
Mume, Mke na ndoa ni masuala ya kiimani zaidi! Ndoa inajengwa katika msingi wa imani kwa hiyo ni lazima umtangulize MUNGU na umsikilize MUNGU.
Wapo ambao hawakumsikiliza MUNGU wakafata vichwa vyao sasa wanawake waliowaoa wameachana nao, ndoa zao hazina furaha, wengine wamepata magonjwa na mateso mbalimbali.
Shuhuda zipo humu so keep GOD first kama wataka kufika mbali ndugu yangu.
Msikilize MUNGU kwanza ndipo utumie utashi wako maana MUNGU anasema tuishi kwa akili na wake zetu.
 
Hatuna perfect woman kuna wife material
Kiimani yupo ndugu kama unamwamini MUNGU maana yeye ni muweza wa yote.
Ila MUNGU anasema hakuna aliekamilika ila naamini yeye akitaka mtu wake anakamilika.
 
Nobody is perfect!!! Pendekeza vigezo vyako tu walau akikidhi viwili/vitatu beba weka ndani
 
Kwanza niweke wazi mimi ni miongoni mwa binadamu waliokamilika kila idara “Perfectionist”, so sinaga habari hovyo, mimi mambo ni clear huwa sikosei. I’m a serious guy, focused and faithful to GOD. Ni mchapa kazi, napenda Western culture, utani, eating good na najikubali nilivyo na ni muwazi. Huwa sina masihara kwa vitu vya kijinga; huwa napatwa na hasira ila naji-control kawa sababu ya uperfectionist.

Mimi namtaka mwanamke mrembo rangi yeyote hata cheusi fresh tu, kikubwa mwanamke wa kukidhi haja zangu.

Sifa zake
1/Awe mcha MUNGU wa kweli na atakuwa Mkristo kama mimi.
2/Mchapa kazi, asiependa makuu bali mtu wa kutembea na hali halisi.
3/Elimu kuanzia darasa la saba hadi degree.
4/Kazi yake sitaki iwe daktari, siasa, askari au mtu wa kusafirisafiri.
5/Awe mpole ila sasa mtata asiyetaka ishu za kijinga. Sihitaji mama huruma bali nataka kitu kilicho perfect.
6/Awe mwenye akili nyingi sana.
7/Awe na kimo kisichozidi 5ft na kisiwe chini ya 4.5 feet.
8/Awe bikra na umbo ni shape number 8.
9/Awe tayari kuishi popote pale kwa muda wowote.
10/Umri ni miaka 20 hadi 25.
11/Awe tayari kwa mimi kuwa na mchepuko mmoja. Hili suala haliepukiki kwa sababu mwanamke mmoja hatoshi, hili lipo wazi na kuwa na wake wawili kwa uchumi huu ni haiwezekani.
12/Suala la watoto ni majaliwa ya MUNGU, mimi nataka mwanamke asiyependa kuzaa kwa sababu sitaki mtoto!
13/Nataka tuishi dunia yetu, so mwanamke wa aina hii atakuwa kashushwa mbinguni! Najua wapo ila inahitaji jitihada nyingi kuvuta ndani chombo kama hiki.

NB: Nina elimu ya degree, miaka 23, mweupe, sio mrefu - ni kijana makini na mchapa kazi. Nipo well informed, nina discipline pia na ninapendwa na wanawake wengi.
Please, nipo serious. Kama huna vigezo vyote nilivyotaja hapo juu basi hujakidhi vigezo, so naomba sana jali time na hisia za mtu. Ukikidhi vigezo, karibu. Nafurahi uwe wangu niwe mumeo uwe mke wangu.
Ungekuwa ushampata mkuu kama uko perfect.
 
Vigezo ulivyo viweka ni vya akina dada 11 tofauti. sirahisi kupata vyote.
 
Back
Top Bottom