Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Naskia yanga katwaa wedi kapu jana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni muwazi ndio maana sipendagi unafiki aisee hili ni la kweli.Ila miaka 23 mwanaume anawaza kuoa na mchepuko juu.
Possibly zingine bado. Haiwezekani mtu matured akatoa uzi wa kitoto kama huuHivi kuna shule hazijafunguliwa?
😂😂😂😂mimi naomba nikutibu kwanza maana unaumwa.🙁🙁
Unalipa? kama Yes mchepuko nitaondoa ila kwa kuwa umeniambia kwa siri basi haina shida usijali.Huu Uzi wa leo kiboko.kabisa nijitunze nikupe bikra af nikuruhusu uwe na mchepuko???labda nisijue. Hiki kigezo kimenishinda.mpaka hapo u're not perfect unless umebadilisha hicho
Mbna sasa nishajua!???kwa style hiyo siwez ona umuhimu wa kukutunzia bikra yanguUnalipa? kama Yes mchepuko nitaondoa ila kwa kuwa umeniambia kwa siri basi haina usijali.
Wala usijali najua utanitosha kwa sababu mambo ya michepuko yanasababishwa na kutokutosheka kimahitaji.Mbna sasa nishajua!???kwa style hiyo siwez ona umuhimu wa kukutunzia bikra yangu
Ndio japo wanawake wengi hawalifahamu hili...Hahahahah
Why umwbadilisha mawazo mkuu?mwanzo umesema utakua na kamchepuko kamoja tuNdio japo wanawake wengi hawalifahamu hili...
Pia kuna wanaume wengine niseme hawaridhiki yani wana tamaa kwamba kila kitu apitie ila kwangu mimi natosheka kwa sababu sinaga uroho as I know nothing new.
Kuna principle ukizitembelea maishani basi ni mwendo wa kutusua tuu moja wapo ni hii "Nyama ni ile ile utamaliza mabucha lakini nyama ni ile ile" so kilichopo akilini mwako ndicho kinachokuongoza.. That is mentality so program your mind well and you will enjoy life as well.