Natafuta perfect woman awe mke wangu

Nimesoma sentence ya kwanza tu nikaacha.

Nakushauri ufute kauli yako ya uperfectionist.. Hakuna kiumbe kama hicho dunia hii.

Nobody is Perfect, I am Nobody. [emoji23]
 
Madhara ya tamthilia yameanza kujionyesha waziwazi achana na madrama sijui ya kihindi kichina sijui kifilipino nk nk amna maisha kama yale karibu duniani mzee kaka unavojiona perfect usidhani na mdada utakaempata atakuona perfect ivoivo....anyway pengn yupo muimu utuletee mrejesho.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimejikuta tu nimecheka[emoji23]
 
Mkabidhi MUNGU maisha yako kila utakachohitaji atakupatia.
Nikuulize wewe unamjua MUNGU?
Mimi ninamjua ndio maana nina Imani na ninachokifanya.
 
Mtafute MUNGU ndio utajua ninaongea nini hapa.
 
Aya mtumishi uje utushuhudie ukimpata uyo perfect girl
Tatizo nyinyi mnatumia mawazo ya kibinadamu. Mawazo na njia za MUNGU sio kama za wanadamu na hazichunguziiki wewe unapoona umefika mwisho kwa MUNGU ndio bado kabisa.
 
Thread yenyewe inaonekana ni ya mwanaume mpaka poda na necklace shingoni.
 
JF user, asante kwa uzi, katika top five yako utakao wapata, connect me the rest after your choice for my consideration too. Keep me posted brother, pm.
 
Mkuu hizo sifa unatania au unamaanisha? Maana naona kama hauko serious
 
JF user, asante kwa uzi, katika top five yako utakao wapata, connect me the rest after your choice for my consideration too. Keep me posted brother, pm.
Vigezo vyako vinafanana na vya kwangu kwa asilimia 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…