Natafuta POS za kununua za benki ya NMB na CRDB

Natafuta POS za kununua za benki ya NMB na CRDB

Joachimb

Member
Joined
Jul 23, 2017
Posts
75
Reaction score
83
Naomba kujua kama kuna mtu anauza posi ya nmb na crdb anitafte nataka tufanye biashara maana nazihitaji kwa uharaka sana.
 
Wengine hata hatujui POSI ni ni. Na zinatumikaje . Au zina jina kengine?
Ni zile mashine za kufanya Payment,mara nyingi hua ni kwa kutumia VISA CARD.
 
Attachments

  • Screenshot_20240831_153925_Google.jpg
    Screenshot_20240831_153925_Google.jpg
    234.4 KB · Views: 9
Naomba kujua kama kuna mtu anauza posi ya nmb na crdb anitafte nataka tufanye biashara maana nazihitaji kwa uharaka sana.
Hivi POS kama hizo za NMB na CRDB pamoja na line za uwakala wa miamala ya mitandao ya simu kama zinatumika mkoa fulani inakubalika kuzihamishia mkoa mwingine tofauti na mji/mkoa ulipofanyikia usajili wake?
 
Back
Top Bottom