J Joachimb Member Joined Jul 23, 2017 Posts 75 Reaction score 83 Aug 31, 2024 #1 Naomba kujua kama kuna mtu anauza posi ya nmb na crdb anitafte nataka tufanye biashara maana nazihitaji kwa uharaka sana.
Naomba kujua kama kuna mtu anauza posi ya nmb na crdb anitafte nataka tufanye biashara maana nazihitaji kwa uharaka sana.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 31, 2024 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
UZZIMMA JF-Expert Member Joined Nov 20, 2014 Posts 414 Reaction score 481 Aug 31, 2024 #3 Wengine hata hatujui POSI ni ni. Na zinatumikaje . Au zina jina kengine?
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Aug 31, 2024 #4 Joachimb said: Naomba kujua kama kuna mtu anauza posi ya nmb na crdb anitafte nataka tufanye biashara maana nazihitaji kwa uharaka sana. Click to expand... Selcom unayo tayari!? Kuna MTU anayo anaiuza
Joachimb said: Naomba kujua kama kuna mtu anauza posi ya nmb na crdb anitafte nataka tufanye biashara maana nazihitaji kwa uharaka sana. Click to expand... Selcom unayo tayari!? Kuna MTU anayo anaiuza
The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 Aug 31, 2024 #5 UZZIMMA said: Wengine hata hatujui POSI ni ni. Na zinatumikaje . Au zina jina kengine? Click to expand... Ni zile mashine za kufanya Payment,mara nyingi hua ni kwa kutumia VISA CARD. Attachments Screenshot_20240831_153925_Google.jpg 234.4 KB · Views: 9
UZZIMMA said: Wengine hata hatujui POSI ni ni. Na zinatumikaje . Au zina jina kengine? Click to expand... Ni zile mashine za kufanya Payment,mara nyingi hua ni kwa kutumia VISA CARD.
Nyaka-One JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 4,730 Reaction score 6,736 Aug 31, 2024 #6 Joachimb said: Naomba kujua kama kuna mtu anauza posi ya nmb na crdb anitafte nataka tufanye biashara maana nazihitaji kwa uharaka sana. Click to expand... Hivi POS kama hizo za NMB na CRDB pamoja na line za uwakala wa miamala ya mitandao ya simu kama zinatumika mkoa fulani inakubalika kuzihamishia mkoa mwingine tofauti na mji/mkoa ulipofanyikia usajili wake?
Joachimb said: Naomba kujua kama kuna mtu anauza posi ya nmb na crdb anitafte nataka tufanye biashara maana nazihitaji kwa uharaka sana. Click to expand... Hivi POS kama hizo za NMB na CRDB pamoja na line za uwakala wa miamala ya mitandao ya simu kama zinatumika mkoa fulani inakubalika kuzihamishia mkoa mwingine tofauti na mji/mkoa ulipofanyikia usajili wake?
J Joachimb Member Joined Jul 23, 2017 Posts 75 Reaction score 83 Aug 31, 2024 Thread starter #7 Determinantor said: Selcom unayo tayari!? Kuna MTU anayo anaiuza Click to expand... Selcom unaweza kufanyia miamala ya benki,maana sjawahi kuitumia hiyo
Determinantor said: Selcom unayo tayari!? Kuna MTU anayo anaiuza Click to expand... Selcom unaweza kufanyia miamala ya benki,maana sjawahi kuitumia hiyo