Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
Ms chite ingekuwa vizuri ungeweka picha yako, ila nina kaka yangu anatafuta mchumba pia. Dini mkristo, kama upo tayari kubadili dini itakuwa poa.
Salaams!
Wapendwa mie natokea hapa kwa mara ya kwanza kabisa, shida yangu kubwa natafuta mchumba mwema anaemaanisha na ambae tayari alitendwa na hayupo tayari tena kutendwa! I am ready for long relationship! Umri ni kuanzia 30 mpaka 37, awe muislam itakuwa vema zaidi, kwa aliye tayari asisite kuwasiliana na mimi!
I mean it wapendwa
Kwa kuanzia, walau weka picha yako hapa !!
Kwa kuanzia, walau weka picha yako hapa !!
Mchumba bora anapatika JF the home of great thinkers upo Ms Chite, umemsoma Fidel80 na Eeka Mangi, usidanganywe mume bora atoka kwa Mungu ni hapa hapa JF
Mkubwa hilo goli lilikuwa la mwaka huu so changamkia dili hilonabadilisha goal ya 2010 kama una vigezo.......please pokea my PM
Mkubwa hilo goli lilikuwa la mwaka huu so changamkia dili hilo
Belinda ????
I am out ....demu anaye kimbilia kuolewa badala ya kujivinjali na kujuana idara zote hafai pia ana shida ya udini huyu....
Salaams!
Wapendwa mie natokea hapa kwa mara ya kwanza kabisa, shida yangu kubwa natafuta mchumba mwema anaemaanisha na ambae tayari alitendwa na hayupo tayari tena kutendwa! I am ready for long relationship! Umri ni kuanzia 30 mpaka 37, awe muislam itakuwa vema zaidi, kwa aliye tayari asisite kuwasiliana na mimi!
I mean it wapendwa
Ha ha ha Nyani, usimchuuze dada yetu!!!! LOL!!!
mbona swali lako halieleweki!Pretty hivi wewe uko tanzania ni kati ya 23 mpaka 30 ?? Naomba jibu
Kwani ametaja jinsia yake? Msije mkachangamkia tender kumbe wote mna jinsia moja kama ya huyo kaka/dada.
Inawezekana hiyo Ms ni sehemu ya username yake tu hapa JF, na si "Miss"Mbona tayari? yeye ni 'Ms Chite'
mbona swali lako halieleweki!