Natafuta Rafiki, Mchumba

Natafuta Rafiki, Mchumba

Ms chite ingekuwa vizuri ungeweka picha yako, ila nina kaka yangu anatafuta mchumba pia. Dini mkristo, kama upo tayari kubadili dini itakuwa poa.

Du Pretty ingekuwa ni wewe wallah nabadili dini, hata kama ungekuwa umemwagika mdomo sio tabu kwangu,,, maana receiption inaanza vizuri hiyo,,,, du! mashallah utosi utosi. Japo nione mashavu Pretty!
 
Salaams!
Wapendwa mie natokea hapa kwa mara ya kwanza kabisa, shida yangu kubwa natafuta mchumba mwema anaemaanisha na ambae tayari alitendwa na hayupo tayari tena kutendwa! I am ready for long relationship! Umri ni kuanzia 30 mpaka 37, awe muislam itakuwa vema zaidi, kwa aliye tayari asisite kuwasiliana na mimi!
I mean it wapendwa

Siku hizi watu hupenda kujua vingi zaidi. Sema upo wapi hapa duniani, elimu yako ni ya kiwango gani, una umri gani (unaweza kuweka range kwa mfano umri wangu ni kati ya miaka 25 mpaka 32 🙂 )umeajiriwa au umejiajiri mwenyewe na katika uzuri kama kati ya 1 mpaka 10 unajipa namba ngapi (10 ni uzuri wa kukata na shoka, lakini kumbuka uzuri si kitu kikubwa sana ingawaje kinasaidia) Haya kila la heri katika jitihada zako. Ukifanikiwa usikose kutufahamisha.
 
Mchumba bora anapatika JF the home of great thinkers upo Ms Chite, umemsoma Fidel80 na Eeka Mangi, usidanganywe mume bora atoka kwa Mungu ni hapa hapa JF

Mkuu ni hapa hapa..anayekwambia kwa Kakobe anakudanganya-Lol

Mi nimeipenda hii kabisa..kwa sababu mchumba mpaka ana uwezo wa kufika na kutumia mtandao wa Great Thinkers wa JF..Ujue probability ya watoto kulala njaa ni ndogo! Hata usafiri Escudo si mbaya..inaweza kupatikana..
 
Dada Inshalaah!AAK,mimi niko tayari kujiunga na uislam,shida yangu ni moja. Sipendi mwanamke mwenye uzito zaidi ya kilo 90,mimi natokea pemba-nadhani unajua kwetu ukitaka kumkaanga samaki lazima umgeuze,na la mwisho nimejifunza mambo mengi ya ughaibuni nina imani ukiniambia hayo hayatatutengenisha niambie nimwage mistari,
Kat 786
 
Mkubwa hilo goli lilikuwa la mwaka huu so changamkia dili hilo

Hiyo goal ameiset tangu 2002, nyie mnaoomba picha na maelezo mengi mtumieni PM kama mko serious lol.
 
I am out ....demu anaye kimbilia kuolewa badala ya kujivinjali na kujuana idara zote hafai pia ana shida ya udini huyu....

Au ana udini ana u-homophobia? Acha hizo- kila mtu na criteria zake. lol
 
Salaams!
Wapendwa mie natokea hapa kwa mara ya kwanza kabisa, shida yangu kubwa natafuta mchumba mwema anaemaanisha na ambae tayari alitendwa na hayupo tayari tena kutendwa! I am ready for long relationship! Umri ni kuanzia 30 mpaka 37, awe muislam itakuwa vema zaidi, kwa aliye tayari asisite kuwasiliana na mimi!
I mean it wapendwa


Hongera kwa ujasiri shosti mana mhhh!
 
sasa na nyinyi kina kaka mtu amekuja kwa heshima mara mnaanza kumuomba tigo sijui si mngemwandikia private tu jamani si mnajua tena hayo makubaliano ya watu wawili mtu hawezi kukubali hadharani
sorry kama nimewaudhi
 
Back
Top Bottom