Kwetunikwetu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 1,535
- 412
Naitwa sam naishi dar natafuta mwanamke mwenye umri kati ya miaka 20-30 awe na heshima, mwaminifu, tabia zinazopendeza kwenye jamii, kwa upande wa dini sibagui digi wala kabila namba yangu 0713998604.Sammy[/QUOTE
Mbona hueleweki mkuu? Unatafuta housegirl, secretary au vipi....?
Naitwa sam naishi dar natafuta mwanamke mwenye umri kati ya miaka 20-30 awe na heshima, mwaminifu, tabia zinazopendeza kwenye jamii, kwa upande wa dini sibagui digi wala kabila namba yangu 0713998604.Sammy
.......aende kwenye Madanguro ya Kichina hahah kule nasikia unaonyesha dollar 100 hakuna kuimbishana...
Bandugu haupo romantic kabisa. Bora ungesema natafuta mwanamke awe mwenza/mchumba/mke.
Sentesi tata hii. Anyway,ufanikiwe Sam ukimpata huyo mwanamke!..
Mkuu ni wapi huko nitie timu. Mi kwa mademu sijui kitu Sam kaniacha kwa mbali .....
Sasa awe romantic kivipi wakati ndo bado yuko kwenye mchakato wa kumpata huyo mwanamke? Akishampata ndio ataonyesha romantic side yake na huyo mwanamke.
Mtu akibeat around the bush mnalalaika, akiwa straight forward manasema tangazo lake linatisha sasa afanyeje?
Well kwa jina naitwa sam -- ni kijana mwenye umri wa miaka kati ya 25 na 30 mwenyeji wa mikoa ya kanda ya ziwa , mwili wangu ni wastani na rangi ya ngozi yangu ni kahawia - sijawahi kuowa wala kuolewa ( siku hizi wanaume wanaolewa ) - nimeajiriwa katika sekta binafsi mjini dar es salaam
napenda kujitokeza katika jukwaa hili kutafuta mwanamke ambaye hapo baadaye tunaweza kufanga nae pingu za maisha , awe mstaarabu , mwenye kuvutia , umri wake kuanzia miaka 23 mpaka 30 awe anafanya kazi au kajiajiri mwenyewe
mwisho napenda awe hajawahi kuwa katika ndoa yoyote ile -- mimi ndio niwe wakwanza nae
[/B]
Wewe ndo uwe wa kwanza? Nani kasema? Kubali kula vilivyoishamegwa, huko kote watu wameshapita.
Well kwa jina naitwa sam -- ni kijana mwenye umri wa miaka kati ya 25 na 30 mwenyeji wa mikoa ya kanda ya ziwa , mwili wangu ni wastani na rangi ya ngozi yangu ni kahawia - sijawahi kuowa wala kuolewa ( siku hizi wanaume wanaolewa ) - nimeajiriwa katika sekta binafsi mjini dar es salaam
napenda kujitokeza katika jukwaa hili kutafuta mwanamke ambaye hapo baadaye tunaweza kufanga nae pingu za maisha , awe mstaarabu , mwenye kuvutia , umri wake kuanzia miaka 23 mpaka 30 awe anafanya kazi au kajiajiri mwenyewe
mwisho napenda awe hajawahi kuwa katika ndoa yoyote ile -- mimi ndio niwe wakwanza nae
Unatafuta mwanamke wa jinsi gani? Kwanza ungetoa sifa za mwanamke unayetaka aweje kiumbile, kimasomo na dini.
Unatafuta mwanamke wa jinsi gani? Kwanza ungetoa sifa za mwanamke unayetaka aweje kiumbile, kimasomo na dini.
hehehe unafukuzia tenda hiyo nini?
hahahaha watu tupo single wengi humu lakini kumbuka Masanilo ameoa lakini yupo tayari kutoka nje.
Kuservice tyres bwana!