Well kwa jina naitwa sam -- ni kijana mwenye umri wa miaka kati ya 25 na 30 mwenyeji wa mikoa ya kanda ya ziwa , mwili wangu ni wastani na rangi ya ngozi yangu ni kahawia - sijawahi kuowa wala kuolewa ( siku hizi wanaume wanaolewa ) - nimeajiriwa katika sekta binafsi mjini dar es salaam
napenda kujitokeza katika jukwaa hili kutafuta mwanamke ambaye hapo baadaye tunaweza kufanga nae pingu za maisha , awe mstaarabu , mwenye kuvutia , umri wake kuanzia miaka 23 mpaka 30 awe anafanya kazi au kajiajiri mwenyewe
mwisho napenda awe hajawahi kuwa katika ndoa yoyote ile -- mimi ndio niwe wakwanza nae