Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaomba kazi ya usiku huyo! [emoji23]Kwa hiyo unamuomba kazi?
Nina pungufu ya miezi kadhaa kufikia 40 ambalo ndio hitaji lako.......pole na UPWEKE......Mimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa.
Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40.
Najitegemea nina kwangu na nasaidia ndugu zangu wasiojiweza kulea watoto wao.
Wenye maswali na comments za kejeli mnakaribishwa pia.
Asanteni.
sijui kwann nikiona ume'commet najisikia furaha.. sijui kwa kweli...!!!!Kila la heri mamii