Natafuta rafiki mwanaume

Natafuta rafiki mwanaume

Kwa marioo je anaweza kaz vzuri..... Hahaha kama Natania kumbe nko serious afu kama nko serious kumbe Natania. Ata sielew
 
Daah mdada tatizo umri hapo unataka miaka 40 wa makamo mwenzio,changanya damu changa hapa 29years upate balance....
 
Nitafute kama hujapata dada nimeshafikia 40

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Madam 40 yrs unasema hujaolewa? No No sema wewe haoleki! Ni shida

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Asante umenipata mimi ndo wako ni pm tuyatengeneze

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa.

Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40.

Najitegemea nina kwangu na nasaidia ndugu zangu wasiojiweza kulea watoto wao.

Wenye maswali na comments za kejeli mnakaribishwa pia.

Asanteni.
Vipi nimechelewa???
 
Nitafute tuongee kwanza uko wapi tz hii

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa.

Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40.

Najitegemea nina kwangu na nasaidia ndugu zangu wasiojiweza kulea watoto wao.

Wenye maswali na comments za kejeli mnakaribishwa pia.

Asanteni.
nina 35yrs
 
Nicheki inbox
 
Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 48 naomba Tuwasiliane kwa 0629648400

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom