Natafuta rafiki wa kike wa awe mstaarabu n.k

Rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo, we una mawazo gani, tuone kama yanafaa nikuitie watu wenyewe mawazo mazuri mazuri.

Sio uwe na mawazo ya kifunza funza halafu utake kubadilishana na watu, ukae tu na mawazo yako[emoji23]
 
Daah😂
 
Kwani uko mtaani kwako, kijiweni, kazini kwako vp ujamuona yoyote wa kubadilishana nae mawazo mana waliopo jf ndio wale wale wapo kitaani tu
 
Jazia jazia maelezo muhimu kama umri, urefu, mahali ulipo n.k. [emoji854][emoji6]
 
Back
Top Bottom