Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Taja mali unazomiliki wewe ili umpate mtoto mkali. Una kazi/biashara gani, una nyumba ngapi mjini za kupangisha, una magari mangapi ya kutembelea, umeshaenda Dubai mara ngapi ndani ya mwaka huu, nk.Nina miaka 24, urefu futi 6 hivi, nipo dar na tanga kwa nyakati tofauti
NB: usije ukasema unafanya kazi ya hovyo hovyo! Kamwe hutapata mtu humu. Maana wanawake wote wa JF ni kama huyu Pisi kali , Yna2 , Yna aika , nk. Yaani hawa warembo wanahitaji watu wenye fedha nyingi kuwatunza.