Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙂🙂🙂🙂 JF raha sana.hahahaha utafutwe kila Mara vocha unatoa ww??
Duuh 29 Bado anapennda kuchat tuuu, duuh Hilo janga c bureNatafuta rafiki Wa kiume umri kuanzia miaka 29 kuendelea awe anapenda kuchat awe ana nitafuta Mara kwa Mara
Kama hupendi kuchat usinitafute maana naitaji rafiki Wa kunitoa upweke
Karibu sana ila uwe hodari sana katika kuchat kama mleta uzi anavyosema!😂Mkuu naomba urafiki na tuwe tuna chat mara kwa mara [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ondoa Shaka nitakuwa nakutumia text message muda wote ila nimekutumia moja haijafika mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Karibu sana ila uwe hodari sana katika kuchat kama mleta uzi anavyosema![emoji23]
Ngoja kwanza utakuwa unanitext nini mida wote?🤔 Usije ukaniletea zile tabia zenu za kusalimia kutwa nzima...Unaanza Hello nikijibu, unatuma 'Mambo' nikijibu, unatuma 'Uko poa' nikijibu, unaendelea 'Za wewe?' .......😕 Basi inakuwa kusalimiana tuuuuu kutwa nzima.Yaani ondoa Shaka nitakuwa nakutumia text message muda wote ila nimekutumia moja haijafika mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Thanks for making me laughNgoja kwanza utakuwa unanitext nini mida wote?[emoji848] Usije ukaniletea zile tabia zenu za kusalimia kutwa nzima...Unaanza Hello nikijibu, unatuma 'Mambo' nikijibu, unatuma 'Uko poa' nikijibu, unaendelea 'Za wewe?' .......[emoji53] Basi inakuwa kusalimiana tuuuuu kutwa nzima.
Niambie kabisa utakuwa unanichatisha nini muda wote?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja kwanza utakuwa unanitext nini mida wote?[emoji848] Usije ukaniletea zile tabia zenu za kusalimia kutwa nzima...Unaanza Hello nikijibu, unatuma 'Mambo' nikijibu, unatuma 'Uko poa' nikijibu, unaendelea 'Za wewe?' .......[emoji53] Basi inakuwa kusalimiana tuuuuu kutwa nzima.
Niambie kabisa utakuwa unanichatisha nini muda wote?
kwani kuna cha zaidi ya hizo salamu na kuulizana umekula, umeshindaje, upo wapi na nani, unafanya nini!!!!!!!Ngoja kwanza utakuwa unanitext nini mida wote?[emoji848] Usije ukaniletea zile tabia zenu za kusalimia kutwa nzima...Unaanza Hello nikijibu, unatuma 'Mambo' nikijibu, unatuma 'Uko poa' nikijibu, unaendelea 'Za wewe?' .......[emoji53] Basi inakuwa kusalimiana tuuuuu kutwa nzima.
Niambie kabisa utakuwa unanichatisha nini muda wote?
hahahahahah ulijuaje kama hili ni tatizo mkuu, hatari sana!Ngoja kwanza utakuwa unanitext nini mida wote?🤔 Usije ukaniletea zile tabia zenu za kusalimia kutwa nzima...Unaanza Hello nikijibu, unatuma 'Mambo' nikijibu, unatuma 'Uko poa' nikijibu, unaendelea 'Za wewe?' .......😕 Basi inakuwa kusalimiana tuuuuu kutwa nzima.
Niambie kabisa utakuwa unanichatisha nini muda wote?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo mmenithibitishia msemo wa kijiwe chetu wadada kuwa 'Wanaume wote baba mmoja mama mmoja' yaani akili zenu zinafanana[emoji53]kwani kuna cha zaidi ya hizo salamu na kuulizana umekula, umeshindaje, upo wapi na nani, unafanya nini!!!!!!!
hizo ndio point kuu ktk kuchat muda wote kama mtu upo tu kama mimi, mimi pia napenda kuchat [emoji5][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji38][emoji28][emoji5][emoji3][emoji119][emoji119][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji65][emoji65][emoji65][emoji126][emoji126][emoji126][emoji141][emoji123][emoji106]
Hili tatizo nalijua maana nakumbana nalo kila uchao. Mwingine anakusumbua weee nipe namba yako nipe namba yako ukimpa hapigi kazi kubeep tu, Agrrrrr.....wanakera sana!hahahahahah ulijuaje kama hili ni tatizo mkuu, hatari sana!
cc lucas mobutuLeo mmenithibitishia msemo wa kijiwe chetu wadada kuwa 'Wanaume wote baba mmoja mama mmoja' yaani akili zenu zinafanana[emoji53]
Kwamtindo huo sichat na nyinyi, ngoja niendelee kusubiri hapa mtu atakayeweza kunichatisha vya maana kama 'Hey lady ushapata msosi? Nakutumia 100k ukale sato maana najua ndo ugonjwa wako'[emoji6]
Hii ndio aina ya chatting ya vijana wengi wasio na shughuli nyingi za kufanya,,,kwa kuongezea tu hapo "sahivi unafanya nini my", "karibu tule", "mi ndio nalala my", "upo kimya my" hahahaha and the list goes on! Ni muendelezo wa viswali vya kijinga na kujikomba kwa kasi ya 4G huku demu akikuona bonge la mshamba!Thanks for making me laugh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
How did you know that I am that kind of Men who loves to say hi, hello all the time
So this makes my request to be disqualified
Njoo pm mimi nina uwezo wa kukutoa upweke.Natafuta rafiki Wa kiume umri kuanzia miaka 29 kuendelea awe anapenda kuchat awe ana nitafuta Mara kwa Mara
Kama hupendi kuchat usinitafute maana naitaji rafiki Wa kunitoa upweke
Vijana wanazingua sana, lakini nafikiri ni interest tu mkiwa na common interests kwenye maeneo mengi yatakuwepo maanaHii ndio aina ya chatting ya vijana wengi wasio na shughuli nyingi za kufanya,,,kwa kuongezea tu hapo "sahivi unafanya nini my", "karibu tule", "mi ndio nalala my", "upo kimya my" hahahaha and the list goes on! Ni muendelezo wa viswali vya kijinga na kujikomba kwa kasi ya 4G huku demu akikuona bonge la mshamba!
Nilijua tu! Siku utakayoamua kubadilisha hiyo namna ya kuchat kwako unitafute tuchat[emoji53][emoji53]Thanks for making me laugh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
How did you know that I am that kind of Men who loves to say hi, hello all the time
So this makes my request to be disqualified
hahahaha utafutwe kila Mara vocha unatoa ww??