Natafuta rafiki wa kike

Binafsi naona kuchat kunanipotezea muda, maana kuongea naweza kuongea huku ninafanya kazi zangu vizuri tu. Story za kuongea inategemeana na mtu unayeongea nae mna interest sawa? Mtu mwingine yeye interest zake ni udaku tu wa mastaa basi ukimpeleka kwenye siasa hayupo, ukimrudisha kwenye michezo hajui chochote, ukizungumzia uchumi hakuelewi hapo kwakweli hata mambo mengi simuulizi namwambia niko busy kwa sasa
 
Kumbe hiyo my ni chambo eeeh?
Hahahah ukiona "My" au "Dia" zimetawala chat ujue dhamira ni kuombwa tunda la makutano ya hips hapo (Mchebwede) ila approach inayotumika ni assimilation policy! Ukiingia king tu nawewe ukaanza kujibu kwa funga semi za "My" na "Dia" ujue tayari ni signal kwa team fisi kuwa umeshaelewa kali anaweza kusogea hatua nyengine ikiwa ku meet in person na kukuandalia mazingira ya mipasuko!
 
Aisee we unafaa kuongea na aina flani tu ya watu, mi kiukweli napenda kuongelea real life experiences hayo mambo ya kumzungumzia bw,jiwe na genge lake its not my thing! Labda technologies na mambo mengine inspirational kama biashara!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ndio maana ya hizo "my/bby/dia" Basi nitaenda nao sawa kuanzia sasa nitakuwa nawavuta nawaweka kwenye right track halafu nawacheck tu hiiiiiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ndio maana ya hizo "my/bby/dia" Basi nitaenda nao sawa kuanzia sasa nitakuwa nawavuta nawaweka kwenye right track halafu nawacheck tu hiiiiiii
Usifanye hivyo bhana, dont you like getting it and feeling it inside? Ndio sababu ya kuumbwa wa kike sasa usikwepe jukumu!
 
Aisee we unafaa kuongea na aina flani tu ya watu, mi kiukweli napenda kuongelea real life experiences hayo mambo ya kumzungumzia bw,jiwe na genge lake its not my thing! Labda technologies na mambo mengine inspirational kama biashara!
Sina aina ya watu wa kuongea nao bali naweza kuongea na mtu yeyote ambaye yuko flexible. Mfano nikikuuliza habari za siasa ukaniambia hufuatilii hizo mambo nitapenda kujua mambo gani unayoyafuatilia na yanafaida gani kwako hapo tutajikuta safari moja inaanzisha nyingine mpaka unawezashangaa unarudi kwenye siasa bila kujijua
 
Sio kwamba sijiui kabisa siasa na nini kinaendelea la hasha, nakuwa siko interested tu! Tutaongea dakika mbili kisha ntakuhamishia upande mwengine!
 
Sasa hili linaweza kusababisha ukakosa rafiki, yaani mtu achati na wewe halafu akutumie 100K ukale sato ndio furaha yako ?, muwe na mikono ya shukrani basi, rafiki akikutumia 10K ya kula unapaswa ushukuru, Anyway mimi nimeshapita Age hiyo hivyo sitegemei kuhusika, Kumbuka Wanawake nao mama yao mmoja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo jukumu nitalitimiza kwa wangapi? Lazima kuwa na mipaka ili kuishi kwa kiasi!
Sasa ukute utaoanza kuwapiga mitama kuanzia sasa miongoni mwao kuna mumeo humo! Kwa hio tupeane ushirikiano kizazi zaidi yangu haiishi kama penseli na yako pia inatanuka na kurudia upya wake kulingana na nyakati, tulipewa bure nasi tusinyimane!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umejua nichekesha asubuhi hii
 
Usipanic chief, tunachangamsha genge tu na hakuna uhalisia wowote katika hilo![emoji16]
 
Sio lazima tu unitext kunambia unanitumia hela, pia waweza niuliza kama nimepata matokeo ya game ya jana kati ya Barca na Madrid au kunipa deals za mjini n.k
Now we are talking
Kwa game ya jana jinsi nilivyo furaha ningekuomba tutoke tukashangilie ushindi zaidi
Kumbe we basilona mwenzangu
 
Wapo ma nigga wanatumia my hasa lengo likiwa ni kilainishi na kutengeneza ukaribu wa fasta ili waonekane wanajua ku care kumbe ni majambazi sugu!
Daaah mimi bhana shida yangu kuwa social, kwangu ni jambo gumu sana especially kwa women
Natamanigi nile kozi ya kuwa msocial lakini wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…