Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Wa kuchat muda wote,chukua under 20 wa umri uliopendekeza wako bize kwenye kutafuta;na wana muda mchache wa kuchat.
 
Awe anakutafuta mara kwa mara sasa ushakuwa maharage jikoni.

Ila kila la kheri utapata tu mwenye muda huo.
 
Mashart ya hivi si muachie waganga wa kienyeji?
Kuchat kila saa utazani ni shart la mganga.
 
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 29 kuendelea awe anapenda kuchat awe ana nitafuta mara kwa mara

Kama hupendi kuchat usinitafute maana nahitaji rafiki wa kunitoa upweke
hongera mama ongeza speed you are near to reach
 
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 29 kuendelea awe anapenda kuchat awe ana nitafuta mara kwa mara

Kama hupendi kuchat usinitafute maana nahitaji rafiki wa kunitoa upweke
Ningekuja pm sema MIM nipo busy sana kutwa nzima natafuta PESA, labda kama utavumilia ?
 
Back
Top Bottom