Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Am here but with an exchange with papuchi
Jamani natafuta rafiki mwenye sifa zifuatazo
Awe ni muhasibu jinsia yeyote mwenye uzoefu katika kutumia accounting packages
Awe tayari kunifundisha accounting packages pasipo malipo ya Aina yeyote ile!
Plz inbox me if you are willing !
Email yangu ni lucymhasi@yahoo.com
Niko dar Ee salaam kinondoni!
Sent using Jamii Forums mobile app