Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Jamani natafuta rafiki mwenye sifa zifuatazo
Awe ni muhasibu jinsia yeyote mwenye uzoefu katika kutumia accounting packages
Awe tayari kunifundisha accounting packages pasipo malipo ya Aina yeyote ile!
Plz inbox me if you are willing !
Email yangu ni lucymhasi@yahoo.com
Niko dar Ee salaam kinondoni!
Sent using Jamii Forums mobile app
'Feuture'[emoji23][emoji23][emoji23]Ni feuture ipi hiyo unayotaka kujenga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na cement ilivyopanda bei sidhani kama utapata mshirika wa kujenga naye hyo future....
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi hii comment niliandika lini? inaonekana ilijiandika yenyewe hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kwanguvu
Hahahaah nahisi wakati umeiandika ulipiga mambo yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi hii comment niliandika lini? inaonekana ilijiandika yenyewe hii [emoji23][emoji23]
na kweli cement dangote kapunguza uzalishaji bei ipo juu bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
nahisi hii thread ilinikuta nikiwa nachangia kodiHahahaah nahisi wakati umeiandika ulipiga mambo yako