Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,382
- 1,881
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuu???
Kwa sababu ya uhaba wa mademuKwanini mkuu???
relini ipi kwanza... maana dar relini zipo nyingi....Kwa sababu ya uhaba wa mademu
Ya katirelini ipi kwanza... maana dar relini zipo nyingi....
heheheh.....Ya kati
Hamia BADOO mzee huku hakunaHabari za wakati Huu Chiefs....natumaini mnaendelea vema. Leo naomba nami niwe miongoni mwa wale wanaoomba kuoata marafiki wa maisha kupitia JamiiForum.
Mimi ni Kijana nliezaliwa na Kukulia Tarime Mkoani Mara.
Elimu yangu ni kidato cha NNE
Ni mjasiriamali (Photographer) sikubahatika kuajiriwa.
Mkristo (SDA) kwa imani yangu! Kwa sasa naishi Dar Ilala hapa.
Najitokeza kutafta rafiki wa kike kwa ajili ya kujenga nae mahusiano mema. ( kama tutaendana bas siku moja tuishi pamoja)
Napenda kusikiliza muziki laini, kupika, kusoma vitabu, kuogelea na Kupiga picha.
Napenda kujifunza vitu vipya.
Napenda rafiki awe mpole, msikivu, mvumilivu na mnyenyekevu, sichagui imani yake.
Awe na miaka 23-26. Akiwa mjasiriamali itapendeza pia akiwa muajiriwa ni vema.
Asanteni kwa Leo!
Wanawake walivyojaa hamuwaoni mpaka mitandaoni....
Ipo siku mtakujaomba huku mitandaoni mtu wa kuwatilia mimba!
Unatokea kanda maalumu halafu unasikiliza muziki laini.....Wanaume wa mikoani mnalegeza siku hizi tutawavesha kanga!
Hivi kupika nayo inaweza kuwa hobby ya mwanaume tena wa TARIME ?[emoji1]Habari za wakati Huu Chiefs....natumaini mnaendelea vema. Leo naomba nami niwe miongoni mwa wale wanaoomba kuoata marafiki wa maisha kupitia JamiiForum.
Mimi ni Kijana nliezaliwa na Kukulia Tarime Mkoani Mara.
Elimu yangu ni kidato cha NNE
Ni mjasiriamali (Photographer) sikubahatika kuajiriwa.
Mkristo (SDA) kwa imani yangu! Kwa sasa naishi Dar Ilala hapa.
Najitokeza kutafta rafiki wa kike kwa ajili ya kujenga nae mahusiano mema. ( kama tutaendana bas siku moja tuishi pamoja)
Napenda kusikiliza muziki laini, kupika, kusoma vitabu, kuogelea na Kupiga picha.
Napenda kujifunza vitu vipya.
Napenda rafiki awe mpole, msikivu, mvumilivu na mnyenyekevu, sichagui imani yake.
Awe na miaka 23-26. Akiwa mjasiriamali itapendeza pia akiwa muajiriwa ni vema.
Asanteni kwa Leo!
ni PM tuyajengeawe mkweli, anayejiamini, msafi wa akili , mwili na roho , mcha mungu, mwenye upendo wa kweli.....................