Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Nimekosa sifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa best rafiki tu masharti yote hayo, urafiki huja tu wenyeweWeye wasema
Vizur kujiondoaNimekosa sifa
Eyoooo! Come on my dear" haya maneno yangu sikia"kuna kitu nataka kukuambia" vip utakuwa na kiuno chakukukamatia"japo kwenu dar ila mm mwanaume wa njombe"nitakuoa kwa njiwa japo kwenu Mali ng'ombe"
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila sehem pana sheria zake
Ila ukikosa kabisa....wa-part time tupoVizur kujiondoa
Nkp tayari utaniruhusu nije pm??Mimi ni msichana wa miaka 20's nina tafuta rafiki wa kiume mwenye miaka 20 -29 asie na mke.
🏃♀️Ila ukikosa kabisa....wa-part time tupo
ha ha ha Tupo🏃♀️
Message private pamefungwa now usiku
Sikia hizi swagga usipime, na kama unabisha chukua jembe ukalime, kwenye shamba,we mshamba, huwez kwenda sambamba na hivi vitu vikali labda kwa mitishamba, sikia nachomoka najivua gamba, mana nisije wekwa kikao kama yusuphu makamba, waliembamba na sauti akitamba, usinisahau kama mimi ni yuleyule msuva mzee wa kamba,mwanangu unajigamba na mimi na hivi ndo natamba njoo mgodini upate gesi ila usje jambaa...Eyoooo! Come on my dear" haya maneno yangu sikia"kuna kitu nataka kukuambia" vip utakuwa na kiuno chakukukamatia"japo kwenu dar ila mm mwanaume wa njombe"nitakuoa kwa njiwa japo kwenu Mali ng'ombe"
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe wapenda tuchat wapi ikiwa nitakuwa rafikiako wa kiume kama pm umefungaMessage private pamefungwa now usiku
Mimi ni msichana wa miaka 20's nina tafuta rafiki wa kiume mwenye miaka 20 -29 asie na mke.
Kila raheri, siku zenyewe zimebaki chache tumalize mwaka hapana malumbanoKila sehem pana sheria zake
Naona unanichana kwa mbwembwe na visa"kwanza mm lijari ww nyoka wa kibisa"kweli ww kituko unataka demu na hauna pesa"mm baba yako hata kama hautaki"hebu njoo hapa nikukaange kama samaki"Sikia hizi swagga usipime, na kama unabisha chukua jembe ukalime, kwenye shamba,we mshamba, huwez kwenda sambamba na hivi vitu vikali labda kwa mitishamba, sikia nachomoka najivua gamba, mana nisije wekwa kikao kama yusuphu makamba, waliembamba na sauti akitamba, usinisahau kama mimi ni yuleyule msuva mzee wa kamba,mwanangu unajigamba na mimi na hivi ndo natamba njoo mgodini upate gesi ila usje jambaa...
(Chorus)..dada omba namba omba namba ×3...
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaNaona unanichana kwa mbwembwe na visa"kwanza mm lijari ww nyoka wa kibisa"kweli ww kituko unataka demu na hauna pesa"mm baba yako hata kama hautaki"hebu njoo hapa nikukaange kama samaki"
Sent using Jamii Forums mobile app