Natafuta rafiki wa kike

RAFIKI
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya bwana
 
Hello JF members, natafuta Rafiki wa kike ambae tunaweza kuyajenga (maisha)
Mwenye sifa hizi;
-Awe na nidhamu mwenye kujielewa
-Awe Mkristo itapendeza zaidi Mkatoliki
-Umri 20 - 26
-Ambaye yuko huru, na pia sio muoga wa kutembea mkoa wowote ule
-Anae jua kutafuta, tutafute wote
- Elimu kuanzia kidato Cha nne
-Awe mtu makini na maisha

Kwa aliye tayari anichek PM/ DM

NB: serious issue not Joke. [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ushauri tu kwa wana jf kama unatafuta mchumba kwa jina feki picha feki hata mapenzi utakayopewa yatakuwa feki. Tafuta mchumba kwenye mtandao wa watu wenye kujiweka wazi. Sisemi kama huko hakuna watu feki ila jf 100% feki.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Wengi wenu akili bado hazijatulia
😲
Mi mbona nimetulia sina makuu!
Kuna sababu zenu hiki ni kisingizio..

Hivyo kama hatujatulia kwenye 20 unafikiri kwenye 30 ndo tutatulia..? Au mmesahau usemi jasiri haachi asili😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…