Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Ni pm
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 33. natafuta rafiki wa kiume wa umri wa kuanzia miaka 33 na kuendelea tukiridhiana twaweza kuwa wapenzi au kuweza kupata mtoto/watoto pamoja.

Asiwe na familia nikimaanisha mke, awe mcha Mungu, mchapakazi na awe na shughuli halali ya kumuingizia kipato. aliye tayari basi tuwasiliane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mama wa miaka 33 na nimejaaliwa watoto wawili, niliolewa bahati mbaya ndoa imevunjika kwasababu zilizo nje ya uwezo wetu.

Sasa nipo nalea wanangu na alhamdulillah najimudu kiasi financially. Ila kama ijulikanavyo huwezi shindana na nature, nikiwa kama mwanamke kuna wakati unamuhitaji mwanaume na siwezi fanya hivyo kwani uzinzi ni dhambi na namuomba Mungu aendelee kuniepusha na hilo.

Hivyo kwa Uzi huu nahitaji marafiki Wa kiume (naprefer kuanzia kwenye urafiki ili kuona compatibility) haswa aliyefiwa na mkewe, au divorced ambaye yeye si sababu ya uvunjifu Wa ndoa yake, au mwenye mtoto/watoto tayari, au yeyote ambaye ni father figure. Umri kuanzia 33 - 45 yrs.

Note: naprefer a responsible family man. If u think u hv the credentials pls pm me, jokes aside pls.
Kama bado uko km uzi unavoeleza basi njoo kwa Box tusaidiane kulea maana nami nna family
 
Pole sana dada yangu karibu tuwe marafiki, mimi nina mke na watoto wawili ila nina imani urafiki wetu hautaharibu amani yako wala ya familia yangu maana mimi nimtu timamu please karibu inbox tuongee zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari humu ndani.

Nisiwe msemaji sana ukizingatia sio mwanasiasa.

Natafuta rafiki wa kiume.

Kwauchache nina upenzi na vitu kama ifuatavyo.

Vitabu ( Novels- laws, espionage, non-fiction, science fiction)

Meditation, Jogging, Gardening, Fosbury flops, Skiing, Travel and swimming.

Strictly man friend not otherwise.

Waiting for response.

PS: My gender is MALE.
punga
 
Kipindi bado unaishi Tukuyu hujaja kuishi Kimara hivi vitu ulikuwana mapenzi navo kweli?
Habari humu ndani.

Nisiwe msemaji sana ukizingatia sio mwanasiasa.

Natafuta rafiki wa kiume.

Kwauchache nina upenzi na vitu kama ifuatavyo.

Vitabu ( Novels- laws, espionage, non-fiction, science fiction)

Meditation, Jogging, Gardening, Fosbury flops, Skiing, Travel and swimming.

Strictly man friend not otherwise.

Waiting for response.

PS: My gender is MALE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom