Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Mm nina sifa zote, ila uwe tayar kunipa papuchi anytime nikitaka..

Maana hizo ni nyingi ulizo zitaja


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
135 cry,

Hii Post sijui ilikuwaje Naiona Leo.............Huyu nayetakiwa hapa ni mimi 99%
 
Vigezo vyote ulivyovitaja hapo juu ninavyo. Nami naweka vyakwangu kama nawe unavyo njoo pm tuyajenge:
1. Uwe na chura na reception
2. Uwe na chura na reception
3. Uwe na chura na reception
4. "
5. "
n. Uwe na chura na reception.

Siyo mtu ile tuko pamoja sehemu mama watoto wangu anakituona anacheka badala ya kusema hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama title ilivyojieleza. Mm ni mwanaume miaka 28 sasa. Ni Mtanzania naishi Mwanza. Ni mtumishi wa umma. Nahitaji rafiki wa kike aliye tayari tuanze kujenga urafiki, baadae mahusiano na kisha ndoa takatifu.

Sichagui dini wala kabila. Nahitaji aliyeserious na urafiki mahusiano na mwisho ndoa.
Nimechoka kuishi maisha ya pekee yangu. Nimeona sasa umri umefika sasa nifanye jambo lililojema na mwanamke.
Mwenye yuko tayar aje PM
 
Umri wangu ni miaka 28. Sitajali kama mke wangu mtarajiwa atakuwa amenizidi umri kwa tofauti ya miaka michache au mimi nimemzidi umri kwa tofauti ya miaka michache.
Fikra zangu na za jamii nayo toka kwa maana ndugu na marafiki ni jamii itaelewa kwa lolote lile mm na mpenzi wangu tutakalo amua, licha ya tofauti ya makabila, itikadi, dini hata umri.
Maisha ya peke yangu siyataki tena.
 
Back
Top Bottom