Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Tafuta barua za baba yako bilashaka utapata anwani za marafiki wa baba yako na unaweza ukaendeleza urafiki na pia ni vizuri ukawaekeza juu ya mkasa wa mzee wako.
Mkuu ni kiangalia naziona tu rist za western union, sijui barua mzee alikuwa anachoma ,majina yapo lakin anuani ya posta hakuna
 
Yaani ungekuwa na hela naamini usingehangaika kutafta hao marafiki kisa uwe unatega mkono western yunioni...! Cha kufanya wewe fanya kutafta hela uanze kutembelea hizo nchi uwapate face to face! Vya bure gharama
 
Nakushukuru kwa ushauri wako ,ingawa kwa uchumi wangu itakuwa ngumu kugharimia mambo ya safari za nje kwa sasa naweza kupigania familia ipate mkate tu. Ndio maans nikaja humu Jf naamini humu ni dunia.
 
Yaani nimeona ajabu ...yuko serious kbs
Ingekuwa urafiki kama urafiki si tatizo. Lakini naona akili zake zipo kwenye kupokea. Sijaona sehemu kuwa baba yake ametuma zawadi nae mbali mbali. Huenda walikuwa wanamlia time mzee wake ajae.

Yaani eti yuko serious kabisa watu wakupege ww tu, ww unawapa nini? Halafu anasema ana familia.😀😀
 
Kweli ww trabomaker😆😆😆!..spiecies ya aina yenu inaisha kwa kasi😉
 
Mkuu sina kumbukumbu kama baba aliwahi kutuma kitu isipokuwa nilikuwa naona barua tu
Kila urafiki una misingi yake,

Ajira,
Shughuli,
Ujirani.

Huo urafiki wa baba yako na hao waarabu uliunganishwa na nini?
 
Mkuu niko serious ndio maana nikaandika hapa, ingekuwa natania ningepeleka jukwaa la Jokes
Ok kwa msaada tu kuna forum za nchi hizo pia nafikiri.
Kuna Instagram, Facebook etc tumia hizo platform kupata marafiki kwenye hizo nchi unazohitaji.

Ila kuwa makini usipende sana kupokea pokea.
 
Kila urafiki una misingi yake,

Ajira,
Shughuli,
Ujirani.

Huo urafiki wa baba yako na hao waarabu uliunganishwa na nini?
Mkuu historia ya urafiki huo mzee wetu hakuwahi kutueleza. Tulichojua tu ni kuwa yeye alikuwa na marafiki toka huko.
 
Back
Top Bottom