Natafuta rafiki wa kike

Ok kwa msaada tu kuna forum za nchi hizo pia nafikiri.
Kuna Instagram, Facebook etc tumia hizo platform kupata marafiki kwenye hizo nchi unazohitaji.


Ila kuwa makini usipende sana kupokea pokea.
Mkuu nakushukuru kwa ushauri
 

Mimi naishi kwa mtogole mkuu kama na mimi nitakuwa nakutumia simu used na miche ya sabuni ukawauzie wasukuma Kariakoo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo unawaza kutumiwa zawadi tu, vipi nanyi mliwatumia zawadi gani?
 
Ukipata rafiki asiyetoa zawadi vipi? Je uliwahi ona baba anatuma zawadi?
 
Ukipata rafiki asiyetoa zawadi vipi? Je uliwahi ona baba anatuma zawadi?
Mkuu nikipata rafiki asie toa zawadi nitafurahi nitashukuru na kufurahi pia, Naamini zawadi ni matokeo ya urafiki ulio komaa sina uhakika pia kama baba alikuwa anawaomba hizoo zawadi ama walimsaidia tu kutokana na urafiki wao. asante
 
Umri kikwazo

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Mn
Mngekua mnasema mahali mnapoishi(taja ata mkoa tu) ingekua poa sana na ingekusaidia kupata mume/rafiki ambaye ungeweza kumchunguza kwa karibu zaidi
Haiwezekani mimi niwe Nanjilinji uku wew upo Karagwe uko afu tuanzie Uhusiano. For a shortrun naweza kusafiri kutoka Nanjilinji kukufuata uko Karagwe lakini amini nakuambia Uhusiano huo hauwezi kudumu kwa sababu "Fimbo ya mbali haiui nyoka"
 
Huy mama ni wife material kabisa, njoo kwangu kama hujapata
 
Natafuta binti alie serious na maisha awe rafiki yangu.
Sifa:
Umri usizidi miaka 30
Asiwe mlevi
Dini yoyote
Elimu ya chuo
Matured

Mimi ni mrefu wa wastani, miaka 34 na nimeajiriwa pia nafanya mishe mishe zangu binafsi. Napendelea kusoma vitabu, kusafiri, kuangalia mpira, kuogelea na movies. Pia napenda kujaribu vitu vipya na situmii kilevi chochote.

Karibuni dm.
 
Mko wazima?

Natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo. Nimeboeka hivi. Sina vigezo maalum wala nini
 
We ni me au Ke kama ni Ke ni pm tubadilshane contact tuwe tunachati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…