Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

I'm 26 years old. Natafuta rafiki wa kike mwenye maono ya kimaendeleo.

Awe smart in brain mwenye hofu ya MUNGU

1. Awe mcha MUNGU

2. Awe na elimu yoyote

Mwenye uwezoo wa kutafuta solution na mwenye maamzi ya haraka kwa kufikili.
 
Back
Top Bottom