Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Dah mwanangu uko mtaani huna washikaji adi utafute rafiki wa kiume uku mtandaoni..

Inakuaje apo..

Mzee, hili punga si bure. Hivi mademu walivyo wazuri wazuri mtandaoni na mtaani bado kuna njemba inataka kwenda kuzamishiwa kwenye Jicho. Haya mambo Jf wanayachukuliagaje sijui.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Back
Top Bottom