Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Habari za jioni mabini na mabwana.

Husika na kichwa cha uzi hapo juu.

Sifa zangu
Umri miaka 26
Urefu wa wastani
Mwembamba
Rangi maji ya kunde
Elimu kiwango cha degree.
Nina kazi and najitegemea
Mpole, mstaarabu mwenye maneno machache (man of few words)

Sifa za nnayemtafuta
Umri 20-25
Urefu wastani
Mwembamba au mwili wa kawaida
Rangi yoyote, ila natural.
Awe vizuri kichwani, enough kuweza kuongea vitu vya maana.
Napenda mpole mwenzangu au awe amechangamka kidogo.

Mawasiliano: Tukutane P.M then we will go on from there

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom