Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
Azimio liliopitishwa jinsi KE humu ni wawili tu Dr Gwajima na Bibi Faizaš¤£š¤£š¤£hivi
wewe huwa me kumbe???š
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azimio liliopitishwa jinsi KE humu ni wawili tu Dr Gwajima na Bibi Faizaš¤£š¤£š¤£hivi
wewe huwa me kumbe???š
Huyo kwenye avotari ni wewe[emoji125][emoji125][emoji125]Kila la kheri mwaya.
Ila ndugu zangu wa Kibiti watauliza, yuko chungu cha ngapi?Kipengere muhimu unakivuka, una watoto wangapi na baba watoto ni marehemu au bado iko hai?........jibu hayo tu umepata mme wa vigezo vyote.
Hapana mkuu.Huyo kwenye avotari ni wewe[emoji125][emoji125][emoji125]
Angalie ID za kutumia, mimi najua wewe ni demuMimi nipo sema kwenye dini hapo utakubali kuja kwenye Uislamuš
Ahaa sawa, Ahsante kwa muongozoHapana mkuu.
Mkuu kwa nini unaniwekea mikosi kwenye mingo yanguWe mwenyewe ke inayomilikiwa na afu tatu unataka umfanyeje huyo mchuchu
Niko tayariiiWasalaam ndugu zangu.
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,mimi ni mwanamke natafuta rafiki wa kiume (mwenza). Sina vigezo vingi japo nitavitaja kwa uchache kama ifuatavyo:
Umri: miaka 40 na kuendelea
Dini:mkristu
Mwenye upendo wa kwelie so na pia awe ni muhitaji kweli wa kuishi na mke.
Akiwa single baba itapendeza
Awe pia alishapitia changamoto za mahusiano na kujifunza kupitia changamoto hizo.
Awe mkweli na muwazi ,awe pia mpenda maendeleo.
Sifa zangu:
Umri: between 30 -37
Mkristu.
Kazi: Entrepreneur
Ninapenda maendeleo pia,lakini naanini sana katika upendo wa kweli ambapo ndipo mazuri yote huzaliwa humo.
Kwa hiyo dhima kuu ya bandiko hili ni kuhitaji mwanaume mwenye upendo wa kweli .
Hivyo kwa atakayekuwa tayari tuwasiliane pm.
Asanteni nyote.
Ohoo!!! Mkuu samahani sana ntakua nimechanganya madesa kidogo Kuna namna kukatika kwa nyaya kumeathiri kumbu kumbu zanguMkuu kwa nini unaniwekea mikosi kwenye mingo yangu
Wewe upoje, we si ni wakike?Mimi nipo sema kwenye dini hapo utakubali kuja kwenye Uislamuš
Unataka nitukanwe niitwe kiben ten sio? šHalf american unaitwa huku
Kwenye uzi huu mimi ni wa kiumešWewe upoje, we si ni wakike?
Haya ngoja paote š ndio utajua hujuiKwenye uzi huu mimi ni wa kiumeš
hii inawezekana ujueššmfano mm mtaa naoishi,hakuna vijana ni vitoto na wababa waliooa,,kanisani nako i ivo ivo ukiona kijana bas n muimba kwaya,na kam tujuavyo waimba kwaya hukulana wenyewe kwa wenyewe šš¾kanisani kwako hakuna mwenye hizo sifa?
au Mtaani kwako ?
mpaka uje huku online?
Hutaki kulelewa, ule mema ya nchiš¤£Unataka nitukanwe niitwe kiben ten sio? š
Hapana alafu uje na ID ya zamani nisijenikajichanganya šHutaki kulelewa, ule mema ya nchiš¤£