muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Mkuu yupo vizuri mzigo anao.Picha basi kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu yupo vizuri mzigo anao.Picha basi kidogo
Acha uoga kijana😂Hapana alafu uje na ID ya zamani nidijenikajichanganya 😂
Kweli njoo na ile ID ya zamani maana nimekumisi sana.Acha uoga kijana😂
Me nyu kamaKweli njoo na ile ID ya zamani maana nimekumisi sana.
Hizo sifa hapo zina utata kidogo, entrepreneur wa genge au? Maana mtu hata akiuza nyanya tayari ni entrepreneurWasalaam ndugu zangu.
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,mimi ni mwanamke natafuta rafiki wa kiume (mwenza). Sina vigezo vingi japo nitavitaja kwa uchache kama ifuatavyo:
Umri: miaka 40 na kuendelea
Dini:mkristu
Mwenye upendo wa kwelie so na pia awe ni muhitaji kweli wa kuishi na mke.
Akiwa single baba itapendeza
Awe pia alishapitia changamoto za mahusiano na kujifunza kupitia changamoto hizo.
Awe mkweli na muwazi ,awe pia mpenda maendeleo.
Sifa zangu:
Umri: between 30 -37
Kazi: Entrepreneur