Natafuta rafiki wa kiume(mwenza)

Niko tayariii
 
Hajataja kama ana mtoto.... Hapa ndipo panapohitajika!.... Single mothers wanakwepa hapa!
 
kanisani kwako hakuna mwenye hizo sifa?
au Mtaani kwako ?
mpaka uje huku online?
hii inawezekana ujue😄😄mfano mm mtaa naoishi,hakuna vijana ni vitoto na wababa waliooa,,kanisani nako i ivo ivo ukiona kijana bas n muimba kwaya,na kam tujuavyo waimba kwaya hukulana wenyewe kwa wenyewe 🙌🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…