Hivi ni mwanamke mmoja ndo huwa anapost au niaje wakuu.
Nyuzi za namna hii zina mashart yanayofanana sana, kama kupishana basi ni kidogo sana.
Umri wao ndo huo 20-35( wengi hudanganya hua na umri mkubwa zaidi).
Na bila shaka ukimuuliza huyu yuko wapi utaambiwa Dar es Salaam.
Ni tofauti na wanaume wanaopost ambao mara nyingi hua ni kutoka mikoa tofauti tofauti.
Wewe dada mwenye id nyingi, nakuombea upate mtu uache hii tabia ya kupost kwa id's tofauti tofauti.
Na usisahau kuangalia wewe unakosea wapi.
Kila la kheri.