Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37

Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37

Umri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.
Nina 37 ila Dec 1 naanza 38, nafaa? If yes PM na picha.
 
Karibu
FB_IMG_1731341196535.jpg
 
Hivi ni mwanamke mmoja ndo huwa anapost au niaje wakuu.

Nyuzi za namna hii zina mashart yanayofanana sana, kama kupishana basi ni kidogo sana.
Umri wao ndo huo 20-35( wengi hudanganya hua na umri mkubwa zaidi).
Na bila shaka ukimuuliza huyu yuko wapi utaambiwa Dar es Salaam.

Ni tofauti na wanaume wanaopost ambao mara nyingi hua ni kutoka mikoa tofauti tofauti.

Wewe dada mwenye id nyingi, nakuombea upate mtu uache hii tabia ya kupost kwa id's tofauti tofauti.
Na usisahau kuangalia wewe unakosea wapi.
Kila la kheri.
 
Umri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.
Mambo
 
Umri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.
0793926607
Umri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.
 
Sema tu unatafuta mume inakuwa rahisi. Wa sampuli hii akija unaanza kumletea swaga za mapenzi,mnakuwa wapenzi,ukianza kutaka ndoa anakupiga chenga.

Kwann?

Kwasababu ulisema unatafuta rafiki. Wanawake huwa hamjui kuwa direct. Huu ni unafiki mkubwa sana na ndicho kinawagharimu sana miaka hii mnaishia kuwa "use and pass" item kwa wanaume.

Kuwa direct unataka nini. Unasema unataka rafiki, sasa rangi ya mtu ina uhusiano gani na urafiki wa kweli?

Wewe ni mwanamke urafiki na mwanaume tena mtu mzima wa miaka 30 utakuwa ni wa namna gani huo urafiki?

Hivi utamlaumu akija mwanaume mwenye familia yake hapo akakurubuni ukajaa akakupa mimba na kukutelekeza?

Tukiwaambia wanawake ndio chanzo cha usingle mother mnasema wanaume ndio wanaweka mimba makusudi ila mnasahau kuwa aliyetoa mualiko wa sherehe ndie chanzo cha wali wa nyama kuliwa.
 
Umri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.
Binti yangu njoo huku mimi ni zaidi ya hapo miaka30-37 bado ujana haujawaisha watakusumbua mno ni inbox nikuambie umri wangu nitakutunja kama mboni ya jicho langu nakuachia sehemu ya mali zangu
 
Back
Top Bottom