Danger Coy
Member
- Jul 31, 2020
- 45
- 76
Njoo pm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukipata nipunguzie...[emoji205]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Piga vidio call tuonane full body, mambo ya picha hapana, watu mnatumia picha za watu, niliwahi tumia nauri mtu alipokuja ilibidi nipate dharura[emoji1787]
🤣🤣Sasa urafiki ni kitu chakuja na masharti ya ajira kweli madam?
Mtu anatafuta rafiki mwenye ajira na kipato.
Huenda ana kampuni, so ana taka kukupa connectionMtu anatafuta rafiki mwenye ajira na kipato.
Hawa ndio watakuja kuwa wale wanawake saba wanamlili mwanaume afiche aibu yao. Kama rafiki masharti ni haya je mume sii itakuwa balaaaaMwanangu kwa umri huo,rafiki ni rafiki tuu