King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,757
- 1,543
😅😅😅😅 hili naunga mkono halikubaliki gari namba A ipambane na hali yake.Unakuta yeye ni namba A kakaa gereji kinoma anataka hesabu ya gari namba E.
#kazini kuna kazi
😅😅😅😅 hili naunga mkono halikubaliki gari namba A ipambane na hali yake.Unakuta yeye ni namba A kakaa gereji kinoma anataka hesabu ya gari namba E.
#kazini kuna kazi
Mkuu si hua wanasema Gari bovu huvutwa na Gari zima.Unakuta yeye ni namba A kakaa gereji kinoma anataka hesabu ya gari namba E.
#kazini kuna kazi
anatafuta mume huyu bwana,,sema kazungukia mgongo wa rafiki,,,,,rafiki wa kiume mwajiriwa my footHawa ndio watakuja kuwa wale wanawake saba wanamlili mwanaume afiche aibu yao. Kama rafiki masharti ni haya je mume sii itakuwa balaaaa
Haina tofauti na visa application.Should be well attached...
Vigezo vyote ninavyoUmri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.
Mafwele styleUmri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.
Sasa huna Dogo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujinga tu uanza kuomba miamala na lipa namba yako[emoji28][emoji28]
Kwani sisi sote humu si marafiki au urafiki upi unausemea?Umri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.
Ikabidi uhitajike polisi haraka😂Piga vidio call tuonane full body, mambo ya picha hapana, watu mnatumia picha za watu, niliwahi tumia nauri mtu alipokuja ilibidi nipate dharura🤣
Utakua urafiki wa DP WORLD (High class)Sasa urafiki ni kitu chakuja na masharti ya ajira kweli madam?
33jeUmri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.