DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Wanawake ni mafundi sana wa tafsida (kupunguza ukali wa maneno)Mtu anatafuta rafiki mwenye ajira na kipato.
Wanawake ni mafundi sana wa tafsida (kupunguza ukali wa maneno)Mtu anatafuta rafiki mwenye ajira na kipato.
Michezo ya honeytrap😀Mafwele style
Kuruta WA mafwele hao,Kama ni rafiki uko mtaani walivyo wengi na umekosa basi ww uko na shida mahala sorry kw hilo na sina hakika pia kama ww ni jinsia ke kweli
Mulemule💯 kuna demu humu nae kaniletea stori hizo kwamba ananipenda nikamchekiiiiiiii...Michezo ya honeytrap😀
Hapati mtu kizembe hvyoKuruta WA mafwele hao,
Wanatafuta namna ya kupanda vyeo fasta
Urafiki wenyewe sasa😅😅😅Sasa huna Dogo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jitafute, marafiki wazuri utawaona kwa [emoji342] tyuuh. Lol
Kitengo gani 😁 sisi wananchi wa kawaida tu
Hahaha, hatari sanaKitengo gani 😁 sisi wananchi wa kawaida tu
Sasa ajira yake inahusiana nini na urafiki wenu?Umri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.
Unataka kuwa muhasibu wake kigezo cha ajira na urafiki wapi na wapi ?Umri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.
Unatafuta kazi au rafikiUmri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.
Ujataja kimo au awe mbilikimo?Umri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.