Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37

Sindano kali sana hii, angalia asife πŸ˜‚πŸ˜…
 
Uvivu tu wa kulima

Najitolea kukuchangia jembe na mbolea uanze kilimo..

Rafiki tu ajira yake wewe ya nini?
 
Umri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.
Mimi nina miaka61 njoo
sisi wazee tunajua kutunza
 
Umri miaka 28,
mwanamke,
dini mkristo.
Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37.
Dini yoyote.
Mweusi/maji ya kunde.
Awe muajiriwa.
karibu pm ukiwa na picha Yako.
Asante.
Mimi ni muajiriwa, ila nina mikopo kama yote! Yaani hapa nilipo, mpaka atm card yangu nimeiacha kwenye duka la Muha! Vipi naruhusiwa kutuma maombi ya urafiki?
 
Sema umri mnaanzia mbali sana.
I against the idea kwamba lazima mwanaume akuzidi umri ndio u-hang out with.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…