Natafuta rafiki wa kiume


Huu ni urafiki wa kike.
 
Mm nipo tayari
 
Me natafuta rafiki wa kike ila awe na sifa kama izo negative ndo tutaenda sawa
 
Sasa mbona unatuchanganya? Kwamba unatafuta lakini wa kukutia unae.??😉
 
Aisee!! yaani niwe mshika pembe!!!! hapana kabisa.
 
Njoo Pm
 
Huu ni urafiki wa kike.
tafuta wa kiume mimi ni wa kike ndio
sawa
Aisee!! yaani niwe mshika pembe!!!! hapana kabisa.
kivipi
Sasa mbona unatuchanganya? Kwamba unatafuta lakini wa kukutia unae.??😉
kutiwa nini?
Miaka 35 awe hajaoa? Huyo mwanaume atakuwa na matatizo infact nipo tayari ila mke ninaye
wapo kibao
Ha ha ha bora ukosema kitu kingine kuliko kuwa mpweke.
upweke unatokea kwa yoyote
 
Dah nipo aisee.....hafu siku nyingi sana nakumezea mate! ni pm please!
aya
Nmeshindwa vigezo hata kabla hajamaliza kuandika
pole kwaheri
Yaani yooooote yafanyike isipokuwa kwenda kolomije! Not to that extent aisee
sipangiwi mimi
Kama yupo tayari nitamuoa,awe straight tu,hata mim natafuta mke
hapa ni urafiki tu ndoa baadae
Na uzuri huo niishie kukutoa out tu huku papuchi ale mwingine????nooo way
hutaki basi
unakuta unatongoza demu anakuambia tuwe marafiki jamani ila mapenzi hakuna ana mpenzi wake na huku ukimuona mpaka shape ya suruali inabadilika. mie naachana naye maana siwezi kujiumiza bure.
tafuta mpenzi kama una tamaa
utakufa uniache
kama single hadi 35 kuna shida
kuna married at 20 ila wana shida shida haichagui marital status
 
tuna apply wapi fursa hii
pm
sijui kama watakuelewa
kizazi cha nyoka hakielewi
Kuna chalii yangu anaikimiza 50 yuko single bado, naye anatafuta rafiki mwanamke kama vipi nikuunganishe.
le mutuz?
We Miss unaishi wapi.. Maana mazoezi ya pamoja na mtoko yanahitaji mtu wa mji mmoja...
Kuwa mpenzi mtazamaji sio swala jepesi hvyo
Utakua humtendei haki rafiki yako... Hutaki USB point yako itumike,.. Humtaki rafiki yako awe na mke... Mtoko ijumaa, jmosi na jpili.. Hutaki wifi?.... IKIWEZEKANA... asiwe rafiki wa mapenzi... Na ISIPOWEZEKANA.
Miss Natafuta, hebu mcheki handsome boy mshana jr
mshana ni hb?
kuwa muwazi weka nakufanya mapenzi
sipangiwi
Miss Natafuta hujapataga mwanaume wakukutulizaga bado????
kwani sijatulia?
 
Punguza umri basi
 

Kama unataka rafiki tu, na hutaki kufanya nae mapenzi kwanini hutaki aliyeoa?? Si rafiki tu..
 
unaona ni sawa kukaa mahali na mume wa mtu?

kwani kuna tatizo gani kama marafiki? kikubwa kweli uwe huna nia nae.. kwani wewe hujawahi kukaa na waume za watu? hufanyi kazi nao? usipoweka mawazo machafu rohoni ni sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…