Haya mambo hayana formula unaweza kujikuta kakuachia hata upenyo kidogo wa kupapasa. Mkaenda enda kidogo mwisho wa siku ukaachiwa mlango wazi upitehunipati nina vigezo vyote ila hapo pa kubania papuchi tu
sio haki tu mimi sitakikwani kuna tatizo gani kama marafiki? kikubwa kweli uwe huna nia nae.. kwani wewe hujawahi kukaa na waume za watu? hufanyi kazi nao? usipoweka mawazo machafu rohoni ni sawa tu.
Kitoto rudi fb kabla sijakuchapa...Kumbee eeh...
Haya mimi nina 18.
Thirudiiii..Kitoto rudi fb kabla sijakuchapa...
Utajua nikifikaThirudiiii..
Unakuja kunichapa na nini
Haha halafu navyopendwa kuchapwa na vitoto vilaini kama wewe.Utajua nikifika
[emoji57][emoji57][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji8]Haha halafu navyopendwa kuchapwa na vitoto vilaini kama wewe.
Mzima lakin Anny!
[emoji13][emoji13][emoji85][emoji85][emoji57][emoji57][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji8]
Tena kuna kitu kikubwa sana kisaikolojia kinamsumbua,mungu amjalie apate mtu wa kumtibu hili tatizoMiss Natafuta hujapataga mwanaume wakukutulizaga bado????
Hii ni njia nyingine ya kutongoza,yeye mwenyewe anajua hakuna mwanaume wa hivo,yaani niache kutoka weekend na bby wangu nikamtoe mtu amabye hata akiwa anabadili nguo mi nafumba macho huko mazoezini,Aisee labda shogaHakuna mwanaume wa 35yrs and above anayeweza kupoteza mda wake hasa wa weekends kwa mwanamke ambaye hamgongi. Hapo umechemsha... Kama unataka wa dizaini hiyo, nenda kwenye chuo cha mapadri kuna mabrother wengi tu kule ambao wanaweza kukupa kampani...
Kwa ww, una miaka mingapi?awe na sifa zozote isipokuwa
asiwe ameoa ila awe mtu mzima mwenzangu .greater or equal to 35! na awe na mvuto sio wote wabaya tunakaa sehemu moja.
majukumu yake
kuwasiliana na mimi mara kwa mara
kutoka out ijumaa jmosi na jpili
kutembeleana
kusaidiana
kufanya mazoezi pamoja ikiwezekana
urafiki huu sio wa kimapenzi . kama unataka mpenzi naweza kukusaidia kutafuta .
Njoo nipo tayari ila kwenye mvuto sina mvuto kbsawe na sifa zozote isipokuwa
asiwe ameoa ila awe mtu mzima mwenzangu .greater or equal to 35! na awe na mvuto sio wote wabaya tunakaa sehemu moja.
majukumu yake
kuwasiliana na mimi mara kwa mara
kutoka out ijumaa jmosi na jpili
kutembeleana
kusaidiana
kufanya mazoezi pamoja ikiwezekana
urafiki huu sio wa kimapenzi . kama unataka mpenzi naweza kukusaidia kutafuta .
Mkuu naomba uje pm tuchonge. Nimekubali tuwe na huo urafiki. Seriously nakusubili pmawe na sifa zozote isipokuwa
asiwe ameoa ila awe mtu mzima mwenzangu .greater or equal to 35! na awe na mvuto sio wote wabaya tunakaa sehemu moja.
majukumu yake
kuwasiliana na mimi mara kwa mara
kutoka out ijumaa jmosi na jpili
kutembeleana
kusaidiana
kufanya mazoezi pamoja ikiwezekana
urafiki huu sio wa kimapenzi . kama unataka mpenzi naweza kukusaidia kutafuta .
Sasa mimi nina miaka 22 na kwa kuwa ni urafiki wa kawaida hakuna tatizo.Je utanisaidiaje hapo nahisi kuna mengi ya kujifunza kwakoawe na sifa zozote isipokuwa