Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

awe na sifa zozote isipokuwa
asiwe ameoa ila awe mtu mzima mwenzangu .greater or equal to 35! na awe na mvuto sio wote wabaya tunakaa sehemu moja.
majukumu yake
kuwasiliana na mimi mara kwa mara
kutoka out ijumaa jmosi na jpili
kutembeleana
kusaidiana
kufanya mazoezi pamoja ikiwezekana
urafiki huu sio wa kimapenzi . kama unataka mpenzi naweza kukusaidia kutafuta .

Urafiki wetu uliishiaga wapi?!
 
35 kama hujakamata uwe tayari kuwa na toy boy au wa over 50 aliyechelewa kama wewe au amefiwa na mke.
 
Mimi jamani mimiiiiiiiiiiiii
Vigezo vyote ninavyo pia ila kuhusu papuchi utanipa angalau mara 1 kwa mwaka na Roho yangu ipone babay[emoji7][emoji7]
Naomba unihurumie mwenzio sina raha ya dunia isitoshe Nina mipesa mingi yaani juzi tu nimetoka kununua iPhone7 baby
 
Laiti ungefanana na hiyo picha ningekutengea per diem zangu kwa ck za wkend. Maana mimi na msambwanda ni kama inzi kufia kwenye kidonda... Tuchekiane tu Miss Kama upo Arusha, sina Shaka.. Vigezo vyote nnavyo lakini USB point muhimu sana
 
Pipo mbona mna panic, she's looking for a friend, someone to hang out with na kushauriana not a boyfriend or husband. Kama una fit the bill mtafute mtengeneze urafiki kama hupendi vigezo vyake kausha au tafuta wako [emoji41]
 
Unajua huyu demu anatuchezea akili....ina maana katika followers wake 42 katika profile yake kakosa marafiki????...
Au ndo biashara matangazo?
Au anatafuta kick zaidiii
 
awe na sifa zozote isipokuwa
asiwe ameoa ila awe mtu mzima mwenzangu .greater or equal to 35! na awe na mvuto sio wote wabaya tunakaa sehemu moja.
majukumu yake
kuwasiliana na mimi mara kwa mara
kutoka out ijumaa jmosi na jpili
kutembeleana
kusaidiana
kufanya mazoezi pamoja ikiwezekana
urafiki huu sio wa kimapenzi . kama unataka mpenzi naweza kukusaidia kutafuta .


Je, una kitambi zembe? If Yes, nipotezee.
 
huwezi kuwa siriaz yani hutaki mtu alieoa halafu hutaki urafiki wa kimapenzi unafikiria kupitia wapi mama??

hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke hata kama mshatimiza miaka 10 ipo siku atakutongoza au atakumwaga kimya kimya

watu wazima wenzio washakuelewa lakini

kila la kheri naona zero inakuwasha sasa

keep fighting
 
Mimi napenda sana urafiki ila tatizo ni kwamba nitashindwa kuvumilia kuona watu wengine kutoka mbali wanakuja kula wakati mimi mkongwe na nipo karibu yako kazi yangu ni kukusindikiza tu kwenye mazoezi na kula kwa macho basi![emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Unatafta wa kumchuna si bure

awe na sifa zozote isipokuwa
asiwe ameoa ila awe mtu mzima mwenzangu .greater or equal to 35! na awe na mvuto sio wote wabaya tunakaa sehemu moja.
majukumu yake
kuwasiliana na mimi mara kwa mara
kutoka out ijumaa jmosi na jpili
kutembeleana
kusaidiana
kufanya mazoezi pamoja ikiwezekana
urafiki huu sio wa kimapenzi . kama unataka mpenzi naweza kukusaidia kutafuta .
 
gharama za out zitakuwa juu yako ama....maana vigezo ninavyo ila usawa unabana...
 
Weka wazi kuwa natafuta rafiki ambaye awe mume miaka 35 ni mtu mwenye ameoa tayar ivyo huoni kama utaatarisha ndoa hapo
 
Mi napenda marafiki wenye maumbile kama ya kwenye avatar yako....kama upo hivyo nipo tayari best nitakuwa rafiki yako wa kufa na kuzikana!
 
Back
Top Bottom