Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Habari zenu ,, mimi ni msichana wa kitanzania, nina umri wa miaka 30, dini mkristo (roman Catholic) natafuta rafiki wa kiume wa kuniliwaza, nimeumizwa sana na mpenzi niliyekua naye,,najihisi mpweke ,ila sitaki kurudiana naye.
Tafuta mume akuweke ndani muanze maisha utasahau maumivu ya mapenzi
 
Bingwa Nimejaribu bahati yangu huko pm, nasubiria majibu!
 
Ntakuwa mfariji wako kimbalimbali unajishughulisha na nini
 
Kwa hisani ya watu wa Jamhuri ya "Beby tuma na ya kutolea". šŸ˜Ž

-Kaveli-
 
Wewe dada mzee acha hizo!Ukiachwa/ukiumizwa unapaswa upumzike kwanza na siyo kurukia tena mahusiano.Wazungu huwa wanasema have a break from relationship.
Mmh infact kila mtu ana namna yake ya kupoza machungu, hii mambo ya sheria za kizungu achana nayo.
Nilitegemea uulize lile swali lako pendwa [emoji2]
 
Back
Top Bottom