Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Shida yako huna response katika mawasiliano

Hutaki kujibu chochote kuhusu wewe

Sasa mtu atakuliwazaje?

Pia una ubabe sana sass ni mwanaume gani atawezana

Kaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nini mbaya mkuu
 
Habari zenu ,, mimi ni msichana wa kitanzania, nina umri wa miaka 30, dini mkristo (roman Catholic) natafuta rafiki wa kiume wa kuniliwaza, nimeumizwa sana na mpenzi niliyekua naye,,najihisi mpweke ,ila sitaki kurudiana naye.
Umempata?
 
Tatizo lako una date na vijana wa rika lako! Unatakiwa ujaribu na kwa sisi vijana wa zamani ili uone tofauti. Nasubiri unitafute ili nikuliwaze. Upweke wote utaisha.....!
 
Habari zenu ,, mimi ni msichana wa kitanzania, nina umri wa miaka 30, dini mkristo (roman Catholic) natafuta rafiki wa kiume wa kuniliwaza, nimeumizwa sana na mpenzi niliyekua naye,,najihisi mpweke ,ila sitaki kurudiana naye.
Peter nipo Kigogo Dar nichek 0656000178
 
Ondoa neno msichana wa miaka 30...

Ww n mwanamke wa miaka 30
 
Kwo tukuDM au!... Enewei niko.

KichWa Box
 
Mwaka ushageuka now mwaka wa 31 labda mwezi uwe haujafika kama 'the author' hakuzaliwa Januari.
Muhitajiwa aingie PM au abandike namba yake hapa ili kutimiza kusudio la 'the author'
Cc Dorcas21
 
Back
Top Bottom