toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
"does not exist" lipo kwenye kingereza ila kakosea kidogo kuconstruct hiyo sentence, labda angesema serious people do not exist.😁Mkuu, mbona kama neno "does" humaanisha kukiri uwepo wa jambo alafu mwisho unasema not exist
napata ukakasi
Braza nakupa assignment fanya wewe hili list ni ndefu🤩[emoji4][emoji4]ndo ukamfariji Sasa mwenzio uyo.
Tafuta mume akuweke ndani muanze maisha utasahau maumivu ya mapenziHabari zenu ,, mimi ni msichana wa kitanzania, nina umri wa miaka 30, dini mkristo (roman Catholic) natafuta rafiki wa kiume wa kuniliwaza, nimeumizwa sana na mpenzi niliyekua naye,,najihisi mpweke ,ila sitaki kurudiana naye.
Mvulana wa miaka 60 vipi😆Hakuna binti mwenye miaka 30
[emoji41]
Kanda pendwaga katika ubora wenu😆😆😆😆0768290582 se
Kama Upo serious Nichek namb hyoo
Umetumia mtizamo wa kisheria, kijamii, kiuchumi au kibayolojia???Hakuna binti mwenye miaka 30
[emoji41]
Akikujibu kaoge bich kidimbwiBingwa Nimejaribu bahati yangu huko pm, nasubiria majibu!
Kidimbwi iko wapi nikaogeAkikujibu kaoge bich kidimbwi
Mmh infact kila mtu ana namna yake ya kupoza machungu, hii mambo ya sheria za kizungu achana nayo.Wewe dada mzee acha hizo!Ukiachwa/ukiumizwa unapaswa upumzike kwanza na siyo kurukia tena mahusiano.Wazungu huwa wanasema have a break from relationship.
🤣🤣🤣Acha utundu.Nilitegemea uulize lile swali lako pendwa [emoji2]
[emoji23][emoji23]ni logo yako ile nikiona Id yako tu najua kifuatacho.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha utundu.
Kama chura ipo tafadhali nijuze😁😁😁[emoji23][emoji23]ni logo yako ile nikiona Id yako tu najua kifuatacho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...hapo umeongea sasa .Kama chura ipo tafadhali nijuze[emoji16][emoji16][emoji16]
Nazungumzia juu yako😁😁😁Subiri atupe muongozo.