Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka 35 ni mtoto!Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Hebu mshangaeMiaka 35 ni mtoto!
Subiri wenye sifa zako waje me nimecheka kuona age ya 26_25 ati watoto wakupishe 🤔Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.
SIFA NILIZO NAZO.👇
Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.
SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇.
(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.
Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Well saidNaendelea kusisitiza,MLETA MADA NI MDANGAJI ALIEKUBUHU
......daaah basi tena nimepoteza sifa Kwa mara nyingine tenaaa...nilihitaji uwe mpenzi wangu, lakini Sasa kama rafiki tu anawekewa masharti yote hayo kama vile anataka kupokea msaada toka UN Sasa je mimi nitapewa masharti mangapi......ngoja nisubiri atakae kuwa na masharti yenye riba nafuu....Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.
SIFA NILIZO NAZO.👇
Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.
SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇.
(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.
Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Unatafuta mzee wa kukuachia mafao!!!!!wazee nao wameshtukaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.
SIFA NILIZO NAZO.[emoji116]
Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.
SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA[emoji116].
(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.
Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Watu wanatafuta sponsors😅😅Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.
SIFA NILIZO NAZO.👇
Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.
SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇.
(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.
Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Yes,kila mtu anauhuru wa kuchagua anachopenda,siwezi kutaka rafiki mmbeya au mnafki wakati mm siko ivyo.Fanya chagua knacho kupa fraha......daaah basi tena nimepoteza sifa Kwa mara nyingine tenaaa...nilihitaji uwe mpenzi wangu, lakini Sasa kama rafiki tu anawekewa masharti yote hayo kama vile anataka kupokea msaada toka UN Sasa je mimi nitapewa masharti mangapi......ngoja nisubiri atakae kuwa na masharti yenye riba nafuu....
All the best uwazuri ila naomba ukishapata utupatie mrejesho hapahapa kwa ajili ya kupunguza usumbufu na msongamano maana kuna wengine huenda wana sifa lakini wameshelewa kuitikia wito wako au sabNdio siwataki Sasa,kwani lazima kila siku wapendwe VIJANA tu?
......Sasa kama nakupenda na nakuhitaji nifanyeje......kwakweli naomba unilegezee masharti japo kidogo....na sisi wafupi tuna haki ya kupendwa na nyinyi warefu, mtatunyanyapaa hadi lini bana!!??.....Yes,kila mtu anauhuru wa kuchagua anachopenda,siwezi kutaka rafiki mmbeya au mnafki wakati mm siko ivyo.Fanya chagua knacho kupa fraha