Natafuta rafiki wa kiume

Natafuta rafiki wa kiume

Status
Not open for further replies.
Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.

SIFA NILIZO NAZO.👇

Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.

SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇.

(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.

Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Subiri wenye sifa zako waje me nimecheka kuona age ya 26_25 ati watoto wakupishe 🤔
 
Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.

SIFA NILIZO NAZO.👇

Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.

SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇.

(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.

Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
......daaah basi tena nimepoteza sifa Kwa mara nyingine tenaaa...nilihitaji uwe mpenzi wangu, lakini Sasa kama rafiki tu anawekewa masharti yote hayo kama vile anataka kupokea msaada toka UN Sasa je mimi nitapewa masharti mangapi......ngoja nisubiri atakae kuwa na masharti yenye riba nafuu....
 
SIFA NILIZO NAZO.[emoji116]

Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.

SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA[emoji116].

(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.

Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Unatafuta mzee wa kukuachia mafao!!!!!wazee nao wameshtukaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.

SIFA NILIZO NAZO.👇

Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.

SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇.

(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.

Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Watu wanatafuta sponsors😅😅
 
......daaah basi tena nimepoteza sifa Kwa mara nyingine tenaaa...nilihitaji uwe mpenzi wangu, lakini Sasa kama rafiki tu anawekewa masharti yote hayo kama vile anataka kupokea msaada toka UN Sasa je mimi nitapewa masharti mangapi......ngoja nisubiri atakae kuwa na masharti yenye riba nafuu....
Yes,kila mtu anauhuru wa kuchagua anachopenda,siwezi kutaka rafiki mmbeya au mnafki wakati mm siko ivyo.Fanya chagua knacho kupa fraha
 
......Sasa kama nakupenda na nakuhitaji nifanyeje......kwakweli naomba unilegezee masharti japo kidogo....na sisi wafupi tuna haki ya kupendwa na nyinyi warefu, mtatunyanyapaa hadi lini bana!!??.....
 
Kataa ndoa
ndoa ni wizi
kataa kuchunwa

tafuta pesa kula Bata usimsaidie Mwanamke labda Mama yako tu nenda kaa mbali Fanya kazi kula Bata usimsaidie mtu
 
Panawasha, wachakata mbususu kazi ila mumpime moto kabla ya kumkaza huyu manzi. 😁
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom