Natafuta sehemu nzuri ya kuishi ndani ya Tanzania

Sehemu yoyote ambayo ardhi ni mali ya ukoo na hupeana law kurithisha na sehemu yenye makao ya kudumu shambani hapamfai mtu zaidi ya mwenyeji
Mkuu bahati mbaya hapa JF mtu mmoja huwezi kumgongea "like" zaidi ya moja ningekupa 10!
 
Habari zenu wakuu

Sehemu ninayoitafuta iwe na huduma za muhimu karibu kamavile MAJI, HOSPITAL, UMEME NA MTANDAO WA SIMU UWE UNAKAMATA 4G BILA USUMBUFU

Sehemu hiyo isiwe mkoa wa Dar, Kilimanjaro au Arusha!

Karibuni wadau mtiririke
Ifakara patakufaa.
Hapo karibu na PK Arena
 
Habari zenu wakuu

Sehemu ninayoitafuta iwe na huduma za muhimu karibu kamavile MAJI, HOSPITAL, UMEME NA MTANDAO WA SIMU UWE UNAKAMATA 4G BILA USUMBUFU

Sehemu hiyo isiwe mkoa wa Dar, Kilimanjaro au Arusha!

Karibuni wadau mtiririke
Kama utashindwa MBEYA basi hakuna sehemu utawezana nayo aiseh
 
Chatooo hoyeee piga vigelegele kwa ndege yetu na uwanja wa kimataifa
 
Sehemu zifatazo naamini sku mmoja utakuja kunipa hata pesa ya bia moja
Chunyu mpwampwa,ilolanguru geita,bashineti babati,mkako,matalawe songea,ipinda kyela,izizimba A&B kwimba,katahoka kagera,ngerengere morogolo,lipumba mbinga,litui masasi,nyambiti magu,
daaah nimechoka kutaja
 
Mkuu Bashnet na Babati Hapo umemaliza kabisa yaani.
 
Back
Top Bottom