Natafuta sehemu nzuri ya kuishi ndani ya Tanzania

Hujakua specific yani mazingira mazuri ya kuishi tu au pia kiuchumi kuwe kuzuri, hapa ndiyo watanzania wengi wanaanguka
 
Lushoto na njombe ni mapacha ingawa njombe barid imezid kidogo ,lakin kilakitu unacho pata njombe basi na lushoto unapata kuanzia aina za vyakula , matunda na mimea mingine yaan kifupi hapana ukame wa chukula ingawa mzunguko wapesa wa lushoto hutegemea sana tanga mjini tofauti na njombe ambayo hata mzunguko wa pesa wa ndani ni mkubwa
Njombe nyumba nzima shilingi ngapi kupanga? hivyo hivyo Lushoto
 
Kuna hii sehemu panaitwa mitumba chamwino idodomia ...
 
Njoo Njombe wanging'ombe Mdandu ndo napo ishi mimi....
 
Very good! Matombo Morogoro, Tukuyu Mbeya, Ifakara(ila kuna joto),
Ifakara ni the best kwa wilaya zenye mbu na joto.Kuna mafuriko ya hatari,but very green, water, fertile land, social people, fish meat rice very Cheap.
Mwisho kabisa kuoa kule ni nafuu kuliko sehemu yoyote TZ wanawake was kipogoro hawana makuu na ni wacheshi kweli kweli.
 
njoo mufindi iringa mkuu utahisi uko ulaya maisha ni mazuri kama Japan vijijini wazungu wanapapenda sana
Yaaan mimi hapa Dar tu nalalia blanket navyoogopa baridi sembuse huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] angalau unamshauri mdau. Huko mimi ni kifo moja kwa moja
 
Ifakara ni the best kwa wilaya zenye mbu na joto.Kuna mafuriko ya hatari,but very green, water, fertile land, social people, fish meat rice very Cheap.
Mwisho kabisa kuoa kule ni nafuu kuliko sehemu yoyote TZ wanawake was kipogoro hawana makuu na ni wacheshi kweli kweli.
Kwa kuishi namna gani? Kwa mfano mstaafu.
 
Ifakara ni the best kwa wilaya zenye mbu na joto.Kuna mafuriko ya hatari,but very green, water, fertile land, social people, fish meat rice very Cheap.
Mwisho kabisa kuoa kule ni nafuu kuliko sehemu yoyote TZ wanawake was kipogoro hawana makuu na ni wacheshi kweli kweli.
Niko Ifakara apa ata sina miezi ila unayosema ni 99.9%%✓✓ ukweli mtupu pako poa sanaa
 
Habari zenu wakuu

Sehemu ninayoitafuta iwe na huduma za muhimu karibu kamavile MAJI, HOSPITAL, UMEME NA MTANDAO WA SIMU UWE UNAKAMATA 4G BILA USUMBUFU

Sehemu hiyo isiwe mkoa wa Dar, Kilimanjaro au Arusha!

Karibuni wadau mtiririke
Mbeya,Mwanza,Iringa,Songwe/vwawa,au Kigoma mjini,Bukoba mjini,Nyamkazi beach,Mtwara,Masasi,Kiteto Manyara.
 
Habari zenu wakuu

Sehemu ninayoitafuta iwe na huduma za muhimu karibu kamavile MAJI, HOSPITAL, UMEME NA MTANDAO WA SIMU UWE UNAKAMATA 4G BILA USUMBUFU

Sehemu hiyo isiwe mkoa wa Dar, Kilimanjaro au Arusha!

Karibuni wadau mtiririke
Bure au??
Maana kama una hela sehemu za kuishi ni nyingi tu
Lushoto, Mwanza, Njombe nk
 
Habari zenu wakuu

Sehemu ninayoitafuta iwe na huduma za muhimu karibu kamavile MAJI, HOSPITAL, UMEME NA MTANDAO WA SIMU UWE UNAKAMATA 4G BILA USUMBUFU

Sehemu hiyo isiwe mkoa wa Dar, Kilimanjaro au Arusha!

Karibuni wadau mtiririke
Kaishi mpwapwa sehemu inaitwa Rudi au kibakwe mkuu.
 
Habari zenu wakuu

Sehemu ninayoitafuta iwe na huduma za muhimu karibu kamavile MAJI, HOSPITAL, UMEME NA MTANDAO WA SIMU UWE UNAKAMATA 4G BILA USUMBUFU

Sehemu hiyo isiwe mkoa wa Dar, Kilimanjaro au Arusha!

Karibuni wadau mtiririke
Kumbe siku hizi Pompeo amejifunza kiswahili, nenda Njombe ni pazuri sana
 
Back
Top Bottom