Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Habari za muda ndugu zangu....Mimi Ni mpenzi wa nature naombeni mnitajie sehemu nzuri zenye nature kama milima,bustani za maua,miti,camps,beach..ambapo zinafaa Kwa honeymoon,vacation zenye hadhi nzuri mandhari nzuri huduma nzuri Na malazi mazuriii ..naombenii mkitaja eneo msindikize Na picha.
Ahsanteni
Ahsante MkuuSina picha Ila nenda Snowcap cottages iliyopo Nalemoru chini ya mlima Kilimanjaro njia ya Tarakea Moshi iko poa sana.
Ahsante NitagoogleMe picha sikuwekei kwa sababu naamini unaweza ku google but Gwata camp is a very nice place yenye description zote ulizoweka hapo.
Ngarasero,ArushaHabari za muda ndugu zangu....Mimi Ni mpenzi wa nature naombeni mnitajie sehemu nzuri zenye nature kama milima,bustani za maua,miti,camps,beach..ambapo zinafaa Kwa honeymoon,vacation zenye hadhi nzuri mandhari nzuri huduma nzuri Na malazi mazuriii ..naombenii mkitaja eneo msindikize Na picha.
Ahsanteni
AhsanteNgarasero,Arusha
AhsanteTanga Lushoto. Pako vizuri.
beach ambapo zinafaa Kwa honeymoon,
Twende wote mamii
Tanzania Na KenyaNchi ipi mkuu?
AhsantePugu Hill
AhsanteKitulo ...Njombe
ππππTwende wote mamii