Natafuta Sehemu nzuri za kwenda kurelax Na Ku experience nature

Natafuta Sehemu nzuri za kwenda kurelax Na Ku experience nature

Habari za muda ndugu zangu,

Mimi ni mpenzi wa nature naombeni mnitajie sehemu nzuri zenye nature kama milima, bustani za maua, miti, camps, beach ambapo zinafaa Kwa honeymoon, vacation zenye hadhi nzuri mandhari nzuri huduma nzuri Na malazi mazuriii ..naombenii mkitaja eneo msindikize Na picha.

Ahsanteni
Ngorongoro Crater. Overnight Ngorongoro wildlife lodge Member of Melia
 
Aliyewai kufika sadani bagamoyo reserve iv mazingila yake yakoje na cost za kulala na vyakula vyake nataka nikipata time nikafanye utalii wa ndani pale nikiwa free
 
Habari za muda ndugu zangu,

Mimi ni mpenzi wa nature naombeni mnitajie sehemu nzuri zenye nature kama milima, bustani za maua, miti, camps, beach ambapo zinafaa Kwa honeymoon, vacation zenye hadhi nzuri mandhari nzuri huduma nzuri Na malazi mazuriii ..naombenii mkitaja eneo msindikize Na picha.

Ahsanteni
Gibbs Farm Karatu. Ila ilikuwa years ago nadhani ulikuwa hujazaliwa. Sijui kama bado ipo. Ila palikuwa wonderful!!!
 
Back
Top Bottom