Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,334
- 5,829
Adora goba njia ya kinzudimie jamani nataka hotel nzuri maeneo ya goba ambayo in breakfast na wifi budget 50k plz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Adora goba njia ya kinzudimie jamani nataka hotel nzuri maeneo ya goba ambayo in breakfast na wifi budget 50k plz
Ahsante MkuuNenda Ras Kiroko ipo Kigamboni...mcheck blaza Gugo kwa ushauri zaidi.
Ukipata more info about this place , let me knowBilashaka Ni lushoto hii ee
Hey D can i have more info about the paintball range and quadbike place please, and thank you 😊Kama unapenda canoeing 🛶
Nenda ya Lake Duluti.
Ushongo Beach PanganiHabari za muda ndugu zangu,
Mimi ni mpenzi wa nature naombeni mnitajie sehemu nzuri zenye nature kama milima, bustani za maua, miti, camps, beach ambapo zinafaa Kwa honeymoon, vacation zenye hadhi nzuri mandhari nzuri huduma nzuri Na malazi mazuriii ..naombenii mkitaja eneo msindikize Na picha.
Ahsanteni
Arusha- near to TengeruHii sehemu iko wapi
😀 😀 😀 nitachangia 3/4 angalau tukaone tumbili wanavyo ongezeka50 50 kwenye pesa hakunaga Janani😅😅😅😅😅
Iko MuhezaUkipata more info about this place , let me know
😂😂😂😂😂😀 😀 😀 nitachangia 3/4 angalau tukaone tumbili wanavyo ongezeka
Hello CAPT..Hey D can i have more info about the paintball range and quadbike place please, and thank you 😊
lini twende...😂😂😂😂😂
Do they have accommodations nearby?Iko Muheza
Paintball naifahamu vizuri , i just wanted to know ni wapi and itakuwa unyama if ukiweka na rates zao both quads na paintballHello CAPT..
Picture down ndiyo paintball… utalenga chupa sio mzuri kimahesabu lkn nadhani ni mita km sjui.
Pana ka umbali kidogo.. unaweza kukosa pia km sio mlenga shabaha mzuri.
Quadbike zipo pia
Wanacharge for mins/ hrs..
unadrive mwenyewe.. km muoga utaenda na dereva wao.
Pia wana zipline
Location ni Meru camp. Ni Kms chache kutoka Arusha Town
View attachment 3004566
Panaitwa Meru campPaintball naifahamu vizuri , i just wanted to know ni wapi and itakuwa unyama if ukiweka na rates zao both quads na paintball
Thank you so much, 🤟🏾 you rockPanaitwa Meru camp
Mt Meru hotel ile rough road pale opposite inayoenda Sekei.. one way mpk unafika.
Quadbike.
15 mins - 37,500
30 mins - 75,000
1hr - 125,000
Guide fee/ sjui wanaita pesa ya serikali elf 10 separate na hizo amount hapo juu.
Paintball ipo pia Meru camp
Nyingine ipo chemka hot spring - Moshi
Elf5. Ball 5
Elf 10. Ball 10